Usaili wa Jeshi la Polisii kwa wahitimu wa Kidato cha Sita 2015

armmando

Member
Jan 18, 2016
21
11
Nimehitimu kidato cha 6 mwaka 2015, nilijaza form za kujiunga na jeshi la polisi, nilisikia kwamba usaili kwa wahitimu wa 2015 ni mwaka huu 2016, kama kuna mtu ana taarifa zaidi anisaidie tafadhali
 
wenzako walishaondoka toka mwezi wa 11 wapo CCP, na wanakarbia kurudi wewe unaulizia usaili??????
 
Kazi haina kitu hiyo mkuu achana Nayo bora uwe mjasiliamali
 
Back
Top Bottom