Geolyne Member Oct 6, 2011 13 4 Apr 21, 2017 #1 Tafadhalini wanajf, anayejua lolote kuhusu usaili mamlaka ya anga naomba anijuze. Niliomba nafasi ya hr mwaka jana lakini mpaka leo naona kimya.
Tafadhalini wanajf, anayejua lolote kuhusu usaili mamlaka ya anga naomba anijuze. Niliomba nafasi ya hr mwaka jana lakini mpaka leo naona kimya.
faru john junior JF-Expert Member Dec 26, 2016 1,596 1,719 Apr 21, 2017 #3 Tombstone Piledrive said: Kuitwa kwenye usaili nafasi za kazi TPA Soma hapo wamejibu juzi angalia jina lako kama upo Click to expand... Mamlka ya anga sio mamlka ya bandari
Tombstone Piledrive said: Kuitwa kwenye usaili nafasi za kazi TPA Soma hapo wamejibu juzi angalia jina lako kama upo Click to expand... Mamlka ya anga sio mamlka ya bandari