Usaili kwa mikoa ambaya haijapatiwa tarehe na mahali pa usaili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usaili kwa mikoa ambaya haijapatiwa tarehe na mahali pa usaili

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by jamila odo, Oct 3, 2012.

 1. j

  jamila odo New Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=book antiqua, palatino]Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatangazia waombaji wa fursa za ajira kuwa tarehe za usaili kwa mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Pwani, Morogoro, Dar es Salaam itapangwa baadaye kama ilivyokuwa imeelekezwa katika tangazo la kuita waombaji kazi waliokidhi vigezo lenye Kumb. Na. EA.7/96/01/C/49 la tarehe 21 Septemba, 2012.[/FONT]

  [FONT=book antiqua, palatino]
  Hivyo waliochaguliwa kufanya usaili waendelee kujiandaa.

  [/FONT]
  [FONT=book antiqua, palatino]
  [/FONT]
  [FONT=book antiqua, palatino]
  [/FONT]
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  asante ila hayaa c walieleza ktk tangazo lao au dada angu ndio umesoma leo hichi kipengele..
   
 3. Azizi Mussa

  Azizi Mussa Verified User

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,603
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  wanakumbushia ili walioomba wasipanic
   
Loading...