usahuri wako n muhimu

Babaticha

Member
Oct 28, 2012
26
1
Wanajamvi mm n kijana wa miaka 24 kwa sasa,nimehtim kidato cha sita mwaka 2011 Mwanza sekondari mchepuo wa HKL.Matokeo yangu hayakuwa mazuri sana kwan nilipata div 4 ya pointi 18 kwa maana SSS kwa masomo Yote.Awal nlkw namatarajio na pia n hobby yang kubwa kuja kufanya kazi mojawapo kati ya hizi yaan Mwalimu/Utangazaj kutokana na hal ngumu ya kimaisha sikuweza kuendelea na masomo japo diploma...
Namshkuru Mungu nilipata sehm amby ilkw n radio steshen nikajifunza utangazaj na upande wa production,kwa kuwa ilkw n ndoto yng nlifanya vizr na had sasa kuna sehem moja n tv steshen nafanya kazi kama presenter na nauelewa katika maswala ya Video shootin na Editing...
Matarajio yangu n kufika Chuo Kikuu na sasa nimeamua kutumia mwaka 2014 kusoma na kujiandaa vyema ili mwaka 2015 panapo majaaliwa nifanye mtihan tena kama Private Candidate...

Naomba ushauri
1.juu ya Uamuz huu
2.ya muhim kufanya ili kufikia malengo yangu.
3.sylabus ya sasa(mpya)na mfumo mzima wa mtihan
4.Nirudie masomo yote au baadh
5.mengne yote yatopelekea kufanikisha malengo yangu...

Nataraj kuwa msaada mkubwa ktk jamii na nchi yangu

Ushaur wenu n muhim

nawasilisha
 
Kuteleza sio kuanguka, kwhyo rudi shule usome tena kwa bidii, kuhusu mtaala mpya utapata kwenye kituo utakachoenda kusoma, na mwisho nikupongeze kwa uamuzi wako huo.. mungu akutangulie katika kila jambo..
 
Kuna kazi zingine kusoma ni kupoteza muda tu, we tafuta jina utaenjoy maisha...
Kwani dulla na kayanda walisomaga wapi...???
 
Kuteleza sio kuanguka, kwhyo rudi shule usome tena kwa bidii, kuhusu mtaala mpya utapata kwenye kituo utakachoenda kusoma, na mwisho nikupongeze kwa uamuzi wako huo.. mungu akutangulie katika kila jambo..

Nashkuru sana kaka Daud
 
Back
Top Bottom