Kuna walioitwa kazini trh 23 January lkn trh 8 January walikuwa wanetangaza tena nyingine ambapo mwisho wa kuaply ilikuwa trh 30Kama nizile walizotangaza kupitia utumishi, tayari walishaita watu kazini, angalia web ya utumishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo unakuta unangoja gari airportKama nizile walizotangaza kupitia utumishi, tayari walishaita watu kazini, angalia web ya utumishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Izo bado hawajaita,basi zikitoka jamani tustuane,Nami nazisubiria kwa hamuWale tunaosubria usahili wa Kilimanjaro airports development company (KADCO) tupeane updates hapa