USAHIHI:Tiketi za Show ya MwanaFA bado zinapatikana.

Status
Not open for further replies.

Concrete

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,605
549
Tiketi za ile show kabambe ya 'The FINEST' ya mwanaFA bado zinapatikana kwa wingi maeneo mbalimbali ya jiji la Dar na zitaendelea kupatikana hadi mlangoni mwa ukumbi wa mahali ambapo show itafanyika. Mpaka sasa matangazo ya kuwahimiza watu wajitokeze kuja kwenye show au kununua tiketi yanaendelea kupitia Radio, Television na mitandao.

Wananchi wote Wapenzi wa bongo flavour msikubali kubabaishwa na watu wachache wenye nia mbaya ambao wanaeneza uvumi wa kudai tiketi hizo zimekwisha huku.lengo lao ni ili mkose show hiyo murua au muanze kutafuta tiketi kwa njia za panya na hapo mtalanguliwa tiketi kwa bei ya juu au mtauziwa tiketi bandia.

Aluta Continua, mapambano bado yanaendelea!!!
 
ahahaa wafu wakazikane
 
Aaaah! Hip hop ya kuimba na bendi bila DJ hainogi!
Hiphop uwe na DJ mkali anayejua kusugua na kuback up bana kama mbele na sio anakuwa kama sanamu!
 
....mnawalipa lakini JF..???.. maana saivi hili limekua kama lile BANGO la TBC
 
..........mapambano kati ya nani na nani.... mbona mwatumika ki K.... hiviiiiiii
 
Tiketi za ile show kabambe ya 'The FINEST' ya mwanaFA bado zinapatikana kwa wingi maeneo mbalimbali ya jiji la Dar na zitaendelea kupatikana hadi mlangoni mwa ukumbi wa mahali ambapo show itafanyika. Mpaka sasa matangazo ya kuwahimiza watu wajitokeze kuja kwenye show au kununua tiketi yanaendelea kupitia Radio, Television na mitandao.

Wananchi wote Wapenzi wa bongo flavour msikubali kubabaishwa na watu wachache wenye nia mbaya ambao wanaeneza uvumi wa kudai tiketi hizo zimekwisha huku.lengo lao ni ili mkose show hiyo murua au muanze kutafuta tiketi kwa njia za panya na hapo mtalanguliwa tiketi kwa bei ya juu au mtauziwa tiketi bandia.

Aluta Continua, mapambano bado yanaendelea!!!

ushalipia matangazo jf mkuu..
 
Hahahaaaa zimebaki ngapi Mkuu?? Mtatafutana kwa tochi leo!!
 
Mapambano gan? Men kushindana na She kwa maneno ni matokeo ya kushindwa kwa men so anajaribu kukwepa kuvaa sketi
 
akazane sana kufikia level ya jidee, aisee huyu dada anaimba mbaya. hili nyomi komesha.
 
Si hao hao wakina Ruge ndio nilisikia wanatangaza zimeisha kwenye ile redio yao ya wafu? Au walikuwa tu wanataka kumrusha roho komando? Hawakujua kuwa itakula kwao.
 
Wadau,
Nlikua narudi mjini nikitokea Kigamboni kupumzisha akili. Sasa nikapita pale opposite na iFM kucheki kama Mwana FAt..a kala shavu. Jamaa anatia sana huruma aisee. Yaani mlangoni wapo wanafunzi wachache wa IFM ambao walikua wakiingia bure. Jamaa wa mlangoni walikua wakiwabembeleza watu wachukue tickets japo kwa 10,000/= lakini madent wa IFM walikomaa mpaka kwa 5,000/- kwamba boom limekata!!

Sasa hata ule Uzi kua tickets bado zipo kumbezm zilidoda mpaka wakapunguza bei. Sikupoteza muda, nikawahi zangu Nyumbani Lounge ambapo Ukweli sikuijutia hela yangu.
 
Nipo hapa Nyumbani Lounge namsikiliza Prof Jay sasa, nilichokibaini ni kuwa watanzania wameamka sana dhidi ya uonevu wa aina yeyote, ukiondoa vijana wengi walipo hapa , nimeona kuna watu wa umri wa makamo wengi sana hii inaashiria jambo kubwa sana katika muziki huu wa bongo fleva na hususan kwake yeye JIDE.
 
Tiketi zikipatikana mpaka mlangoni maana yake show haina mvuto.

Otherwise utaambiwa hii ni "sold out concert".

Sijui ki bongobongo huko ma vagaranti yanaendaje, lakini muziki wa kimataifa ndo hivyo.

Huwezi kuniambia Beres Hammond anakuja Times Square kwa B.B King hapo halafu unataka kwenda mlangoni tu na demu wako mnunue tiketi hapo hapo.

Ndo habari za kununua tiketi @$500 kwa hipsters Beacon Hall halafu unaambiwa tiketi feki mlangoni. Unapigwa chini.

The NewYorker, on second thoughts that was the NYT, had an article about that last Sunday I believe.
 
Tiketi za ile show kabambe ya 'The FINEST' ya mwanaFA bado zinapatikana kwa wingi maeneo mbalimbali ya jiji la Dar na zitaendelea kupatikana hadi mlangoni mwa ukumbi wa mahali ambapo show itafanyika. Mpaka sasa matangazo ya kuwahimiza watu wajitokeze kuja kwenye show au kununua tiketi yanaendelea kupitia Radio, Television na mitandao.

Wananchi wote Wapenzi wa bongo flavour msikubali kubabaishwa na watu wachache wenye nia mbaya ambao wanaeneza uvumi wa kudai tiketi hizo zimekwisha huku.lengo lao ni ili mkose show hiyo murua au muanze kutafuta tiketi kwa njia za panya na hapo mtalanguliwa tiketi kwa bei ya juu au mtauziwa tiketi bandia.

Aluta Continua, mapambano bado yanaendelea!!!

Zinapatikana kwa wingi sababu zilikosa wateja, madent wa IFM walikua wanabembelezwa wanunue hata kwa buku 10 ili picha zionyeshe palijaa.

""Mwana FA alikua zamani bana, sasa hivi analazimisha tu fani, siwezi kulipa alfu 10 kwa ajili yake"" alisikika dent mmoja.

Mwengine aladakia. "10 yote hiyo kwa kipi hawa?

Nilitaka niwachukue mpaka Nyumbani Lounge niwalipie but nikawaonea huruma wauza tickets kwa jinsi walivyokua wakibembeleza
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom