https://soundcloud.com/jmakamba/mazungumzo-katika-chakula-cha
Kumekuwepo na upotoshaji na mjadala unaomhusu january makamba juu ya event aliyoifanya hivi karibuni jijini Mwanza na kwamba mijadala hiyo inahusisha tukio hilo na mbio za ugombea Urais.
Kutokana na kuzagaa kwa taarifa hizo Mheshimiwa January Makamba-Mbunge wa Jimbo la Bumbuli na Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ameweka sauti halisi ya mazungumzo hayo katika mtandao ambapo kila mmoja ataweza kusikia kile alichokisema na kukipima kama kwa namna yeyote ile kinaweza kuhusishwa na mijadala inayoendelea ya Uraisi.
ifuatayo ni link ya hotuba hiyo;