Usahihi: Mazungumzo ya January Makamba alipokutana na viongozi wa Dini - Mwanza

https://soundcloud.com/jmakamba/mazungumzo-katika-chakula-cha

Kumekuwepo na upotoshaji na mjadala unaomhusu january makamba juu ya event aliyoifanya hivi karibuni jijini Mwanza na kwamba mijadala hiyo inahusisha tukio hilo na mbio za ugombea Urais.

Kutokana na kuzagaa kwa taarifa hizo Mheshimiwa January Makamba-Mbunge wa Jimbo la Bumbuli na Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ameweka sauti halisi ya mazungumzo hayo katika mtandao ambapo kila mmoja ataweza kusikia kile alichokisema na kukipima kama kwa namna yeyote ile kinaweza kuhusishwa na mijadala inayoendelea ya Uraisi.

ifuatayo ni link ya hotuba hiyo;

wewe ndo mbeba mikoba yake? Aka mchumia tumbo??kwani nan hajui kinachoendelea kwa huyo dogo?kwa sasa hatudanganyiki hata kidogo,mlishagazoea,tunawakamua pesa zenu then tunasepa matapeli nyie!
 
Jamii forum is now changing,inaonekana habari ya jana ya Maxcence Melo kushtukiwa kuwa kwenye mtandao wa Zitto kwenye gazeti la mawio kaanza kuifanya forum kuwa not open kwa watu kutoa mawazo na maoni yao na kuzuia post zote zinazomhusu zitto anazifuta faster kumsaidiaeg kuna moja inamhusisha zitto na Metl kwenye ufisadi CHC wameitoa faster kumsaidia.Please mods kuweni liberal watu watoe maoni yao inaonekana next dayz mtakuwa biaz kama michuzi,kisa bosi wenu kanunulika ingawaje alikanusha hataki siasa
 
The Horse: Maswali ya Msingi ni:
1. Je ni kweli January Makamba alikutana na viongozi wa Dini Mwanza?
2. Gharama za hao viongozi wa Dini waliohudhuria huo mkutano zilipwa na January?
3. Lengo la Mkutano huo ulikuwa ni nini?
4. Je mikutano hiyo ni endelevu au ilikuwa ni kanda ya ziwa tu?
5. Mkutano huo ulikuwa ni Wachama(CCM),Serikali au Binafsi?
Tuanzie hapo kwanza
 
Jamii forum is now changing,inaonekana habari ya jana ya Maxcence Melo kushtukiwa kuwa kwenye mtandao wa Zitto kwenye gazeti la mawio kaanza kuifanya forum kuwa not open kwa watu kutoa mawazo na maoni yao na kuzuia post zote zinazomhusu zitto anazifuta faster kumsaidiaeg kuna moja inamhusisha zitto na Metl kwenye ufisadi CHC wameitoa faster kumsaidia.Please mods kuweni liberal watu watoe maoni yao inaonekana next dayz mtakuwa biaz kama michuzi,kisa bosi wenu kanunulika ingawaje alikanusha hataki siasa

hilo ni KATI YA MAMBO MATATU YALIYONISIKITISHA SANA KWA MWAKA 2013 , KWELI KUBENEA NI KIBOKO !
 
Jamii forum is now changing,inaonekana habari ya jana ya Maxcence Melo kushtukiwa kuwa kwenye mtandao wa Zitto kwenye gazeti la mawio kaanza kuifanya forum kuwa not open kwa watu kutoa mawazo na maoni yao na kuzuia post zote zinazomhusu zitto anazifuta faster kumsaidiaeg kuna moja inamhusisha zitto na Metl kwenye ufisadi CHC wameitoa faster kumsaidia.Please mods kuweni liberal watu watoe maoni yao inaonekana next dayz mtakuwa biaz kama michuzi,kisa bosi wenu kanunulika ingawaje alikanusha hataki siasa

mkuu jf imekuwa hovyo kabisa,watu wanapigwa ban ya kiaina,mtu haambiwi kama amepigwa ban ila ukitaka kucomment wanablock,kisa?umeripoti kama gazeti la mawio lilivyoripoti kuwa maxence melo ni mmoja wa washauri wa zitto!!!jf mods acheni kubaka uhuru wa kutoa maoni.
 
Thamani ya kunuliwa huwa inaisha pale mnunuaji anapo aidha kufikia/kutofikia lengo lake au wakati mwingine ile pesa uliyolipwa inapoisha au thamani yake kushuka!:crazy:
 
Mtu mjinga kama huyu ambaye hajawahi kupigiwa kura popote pale duniani au mbinguni achilia mbali kuzimu naye anataka kuwa rais wa Tanganyika?

Ama kweli tumelogwa,

unajua hawa vijana wanadhani baba zao kuwa viongozi basi na wao wana hakimiliki ya uongozi ! Kwa JANUARY kuutaka urais wa nchi hii ni DHARAU YA HALI YA JUU SANA , ni bora hata DOVUTWA .
 
Hata CCM ikisimamisha mgombea uraisi wa aina gani,na chama kingine kikasimamisha jiwe kama mgombea,nitalipigia kura JIWE!
 
sasa MACCM yatakuwa na marais wangapi?
1. Lowasa
2. membe
3. sitta
4. makamba jr
5.mwandosya
6. magufuli
7. salimu a. salimu
8. ambao mimi cwajui
 
Mkuu jaribu kusikiliza acha povu na gongo onesha ukomavu

Gongo ndiyo Jadi yetu, ila hatuwezi kukuacha ukatuharibia na kuigawa nchi yetu kwa sababu madaraka.

Januari hafai na wala hana sifa za kuwa Rais, tatizo kubwa hapa ni baada ya JK kurahisisha kila mtu kufikiri ana weza kuwa Rais.
 
Naye ameanza 'kupitapita' kwenye nyumba za ibada! He he hee!

Hakika tukumbuke maneno ya Baba wa taifa alisema Kikwete bado ndogo!!hivi unadhani alikuwa ndogo kiumri la asha mwalimu alimaanisha upeo wake ni sawa na mtoto au pengine mtoto akawa bora zaidi yake,njoo kwa huyu minvi Losawa huyu tulipewa taadhali mapema kuwa ni mkola tena tusifanye kosa kumsogeza karibu na kiti cha ufalme!!kwaujumla ccm mwalimu aliondoka akituasa watanzania kuwa siyo mama yake wala baba yake hivyo tuyaheshimu maneno ya muasisi wa taifa hili. Alitushauri kuwa CHADEMA ndicho chama pekee cha kuwakomboa watanzania na siyo vinginevyo,Rais ajaye tayari kila mtu anamjua naye ni W P Slaa baaaaasssssi.asante kwa kunielewa.
 
Mtu mjinga kama huyu ambaye hajawahi kupigiwa kura popote pale duniani au mbinguni achilia mbali kuzimu naye anataka kuwa rais wa Tanganyika?

Ama kweli tumelogwa,

Rightfully speaking January Makamba si mbunge, maana katika vifungu vya katiba hakuna popote ubunge wake ulipoainishwa.

Si mbunge wa kupigiwa kura, si mbunge wa kuteuliwa na rais, si mwanasheria mkuu wa serikali, si mbunge kwa viti maalum, si mbunge wa uwakilishi wa serikali.

Sasa mbunge wa aina gani huyu?

Yeye pamoja na Pinda. Wote si wabunge, na kwa kuwa si wabunge, hawatakiwi kuwa mawaziri, let alone uwaziri mkuu in Pinda's case.

Kwa kuwafanya hawa wabunge, katiba imevunjwa.

Aina za wabunge kwa mujibu wa katiba hizi hapa

66​
.-(1) Subject to the other provisions of this Article, there shall be thefollowing categories of Members of Parliament, that is to say:-
(a) members elected to represent constituencies;
(b) women members being not less than thirty percentum of all themembers mentioned in paragraphs (a), (c), (d), (e) and (f) withqualifications mentioned in Article 67 elected by the politicalparties in accordance with Article 78, on the basis of proportion ofvotes;
(c) five members elected by the House of Representatives from amongits members;
(d) the Attorney General;
(e) not more than ten members appointed by the President fromamongst persons with qualifications specified under paragraphs (a)and (c) of subarticle (1) of Article 67 and, at least five membersamongst them shall be women; and
(f) the Speaker, if he is not elected from amongst the members.
(2) The President and the Vice-President shall each not be a Member ofParliament.
(3) Where a Regional Commissioner is elected a Member of Parliamentrepresenting a constituency or where a Member of Parliament representing aconstituency is appointed a Regional Commissioner, the National Assembly shallbe deemed to consist of the requisite number of members and its proceedings shallbe valid notwithstanding that the ordinary total number of members in terms ofthis Article shall have been reduced by reason of such election of the Regional
Commissioner or such appointment of a constituency member.

Sasa January Makamba na Mizengo Pinda ni wabunge wa aina gani hapo?
 
Hata manji wa yanga anaweza kuwa rais kama wqnqnchi wqtamkubali na kumchagua shida yenu iko wapi kama raia wa ts na umetimisa vigezo unayo haki ya kugombea urais mbona 2010 wagombea walikuwa 10 sasa 2015 wagombea wawe ata 50 watz tumchague tunayemtaka
 
Hakika tukumbuke maneno ya Baba wa taifa alisema Kikwete bado ndogo!!hivi unadhani alikuwa ndogo kiumri la asha mwalimu alimaanisha upeo wake ni sawa na mtoto au pengine mtoto akawa bora zaidi yake,njoo kwa huyu minvi Losawa huyu tulipewa taadhali mapema kuwa ni mkola tena tusifanye kosa kumsogeza karibu na kiti cha ufalme!!kwaujumla ccm mwalimu aliondoka akituasa watanzania kuwa siyo mama yake wala baba yake hivyo tuyaheshimu maneno ya muasisi wa taifa hili. Alitushauri kuwa CHADEMA ndicho chama pekee cha kuwakomboa watanzania na siyo vinginevyo,Rais ajaye tayari kila mtu anamjua naye ni W P Slaa baaaaasssssi.asante kwa kunielewa.

cc: FaizaFoxy, Ritz, ifweero.
 
Hakika tukumbuke maneno ya Baba wa taifa alisema Kikwete bado ndogo!!hivi unadhani alikuwa ndogo kiumri la asha mwalimu alimaanisha upeo wake ni sawa na mtoto au pengine mtoto akawa bora zaidi yake,njoo kwa huyu minvi Losawa huyu tulipewa taadhali mapema kuwa ni mkola tena tusifanye kosa kumsogeza karibu na kiti cha ufalme!!

cc: FaizaFoxy, Ritz, ifweero.
 
unajua hawa vijana wanadhani baba zao kuwa viongozi basi na wao wana hakimiliki ya uongozi ! Kwa JANUARY kuutaka urais wa nchi hii ni DHARAU YA HALI YA JUU SANA , ni bora hata DOVUTWA .
Mkuu,

Hawa wajinga ambao hawajawahi wala hawataki siasa za ushindani ndio watakaopeleka nchi hii kwenye shimo...

Yani mtu unakuwa kiongozi bila kuchaguliwa au hata kutimiza matakwa ya demokrasia halafu eti mtu wa namna hii bado anapata tuzo ya "demokrasia" huko Amerika, sijui hizi tuzo huwa wanaandika maombi au?

Hii nchi imejaa mizigo ambayo haibebeki tena.
 
Back
Top Bottom