Usagaji waifanya Twiga Stars Ishindwe Kufuzu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usagaji waifanya Twiga Stars Ishindwe Kufuzu

Discussion in 'Sports' started by Intellect, Jun 22, 2012.

 1. Intellect

  Intellect Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na viongozi wa timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars akiwemo Coach alie bwaga manyanga kuifundisha timu hiyo mara baada ya kushindwa kufuzu na hivyo kufuta ndoto za kucheza mashindano ya dunia, zinasema kwamba moja kati ya sababu kubwa inayo kwamisha ufanisi wa timu hiyo ni wachezaji kujishughulisha na vitendo vya kifedhuli ikiwemo mapenzi ya jinsia moja (Usagaji) hata wakiwa kambini!
   
 2. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Source
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Tutasikia mengi......
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  heee makubwa! Kumbe hata wanamichezo wanajishuhulisha na mambo hizo!?
   
 5. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  Kwani walikuwa wanasagana wakati mechi ikiendelea au? Ka ni nje ya uwanja hiyo sio sababu Mbona kuna mafootballers mashoga afu wanakipiga fresh tu! Wameshindwa hawawezi full stop msilete mbwembwe
   
 6. Intellect

  Intellect Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jambo, TBC, Friday June 22nd.
   
 7. Intellect

  Intellect Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jambo, TBC, Friday June 22nd.
   
 8. pinkmousse

  pinkmousse JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani aliwapiga chabo? why are they complaining now instead of dealing with issue by talking to the girls?
   
 9. N

  Newvision JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya ni maneno machafu na hayana mashiko
   
 10. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli wanaendekeza usagaji, wamekwisha; hakuna cha maana kitakachofanyika. Jitihada za kuwanusuru zifanyike
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  duh tuhuma nzito saaana hizo
   
 12. andate

  andate JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  asante kwa kutufahamisha. Hivi na timu yetu ya taifa(wanaume) tatizo la kushindwa kwake kufuzu ni lipi?
   
 13. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Kwani inazuia mtu asicheze vizuri?! Mbona kuna wachezaji walioolewa,waliooa, mashoga na wanapiga soka freshi
   
 14. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  nani aliiloga hii nchi???? kha!
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Hii habari naweza kuithibitisha kwamba ni kweli. na ni tabia za mda mrefu. Hii hali ni kutokana na tabia walizoendekeza. kwa mfano kuruhusu wanawake kwenda kambini bila kikwazo.
  Karibia wachezaji wote wa twiga wanajiona ka madume kwa kwenda kutafuta mademu mitaani. hata siku moja hutawaona wamevaa sketi, wao ni suruali hata kukojoa wanakojoa vyoo vya kiume iwe hotelini au bar.kuna wasichana wanne nawafahamu kwa majina ambao wanasagana na mademu zao nawafahamu nao wananifahamu pia. mwataka ushahidi?. mia
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Timu imejaa mashoga nisiulizwe source!
   
 17. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Usagaji sio sababu ya kushindwa. Wanamichezo wana libido ya hali ya juu hivyo kujamiina ni kitu natural biologically
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  inalillah wainnailah rajiuun,,,,,
  hii ni tuhuma nzito sana na ni bonge la kashfa,,,kwenu TFF,jana Wambura nilimsikia akihojiwa redio wani stirio,alisema wanasubir ripot ya kocha(mkwasa),hakutaka kabisa kuliongelea hili,,,,duh
   
 19. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  @above posters: maneno ya mkosaji tu! hakuna lolote wameshindwa kufuzu na wameshindwa hata kutoa sababu zenye maana. DOUBLE FAIL

  @Mchonganishi , Yahoo: apparently they have never heard of the gayolympics
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hivi alikuwa anawachungulia?
   
Loading...