Usafirishaji mahindi kwenda Kenya kiholela kutoka mji wa Himo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usafirishaji mahindi kwenda Kenya kiholela kutoka mji wa Himo

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by dicaprio, Jun 11, 2011.

 1. d

  dicaprio Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Niko hapa Himo usiku huu, Fuso kadhaa (zapata 30 hivi ) zinajiandaa kupeleka mahindi kupitia Kitobo eneo la kusini mashariki ya mji huu na nyingine zikipita njia ya Rombo na Holili. Serikali imesahau kwamba mahindi yamesafirishwa kwa takriban mwezi na nusu sasa mahindi yakianikwa na kupimwa mwa mizani ili kupatikana kilo 100. Wapo wahudumu wa kijiji hiki wanaojishughulisha na kukusanya ushuru ingawa siyo rasmi na si OCS wala ngazi yoyote inayoliona hili la kuondoa nafaka kwa kasi. Tayari hali ya njaa itajiri ingawa ni wazi hata soko la Himo sado ya mahindi sasa ni shilingi 2300 na raia wakishindwa kumudu ilhali majirani wanaofika sokoni hapa Jumatatu na Alhamisi wakishambulia bidhaa hii kwani wana uwezo wa soko. Wana JF naomba niwataarifu hili jambo [​IMG]:angry:
   
 2. f

  fazili JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  ipo kazi watu wa Moshi mwaweza kumbwa na njaa mwaka huu
   
 3. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mikoa ya kaskazini inakabiliwa na ukame ambao utasababisha janga la njaa. Jana nimepita hapo mizani Himo,nimeona malori makubwa yakiwa yamejaa magunia ya mahindi yakiteremshwa na kupakiwa ktk mafuso.
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135

  sasa ninaomba nikutaarifu wewe , ni kwamba mambo haya yalishaanza kutendeka miaka kumi iliyopita.
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  do you support or condemn ....?
   
 6. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,825
  Likes Received: 2,765
  Trophy Points: 280
  Let our smallholder farmers access market! This is still an issue in the Mkweeere's country!

  Because NFRA has failed to show the way. We expected this agency to be a lead organ in supporting our farmers who are struggling for the market but in vain! Now, if Kenyan are paying super prices that is good, but our farmers should be educated not to sell all their produce, allow them to sell the surplus (that is what our local governments are supposed to do).

  Wacha Mangis watengeneze pesa!!
   
 7. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mimi ni Mkulima na hili swala la kuzuiwa kuuza mazao nje linaniuma sana unahangaika kuinvest vipesa vyako na kushinda umepiga magoti kuomba Mungu mvua inyeshe serikali huwa inakuangalia tu halafu ukivuna wanakupangia pa kuuza bila kujali bei ya kuuzia kuna umuhimu wa serikali kuanza kununua mahindi ya wa kulima kwa bei nzuri kama njia mojawapo ya kuwasubsidize wakula badala ya kumwaga askari mipakani kukamata malori that's very unfair nchi zenye serikali serious ndivyo wanavyofanya kuwasaidia wakulima na pia kuepusha baa la njaaa
   
 8. Rocket

  Rocket Senior Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hivi bado wanaruhusu kupeleka mahindi nje!!!!
   
 9. K

  King kingo JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Si unajua hii ni nchi pekee ambayo haisimamii sheria zake yenyewe
   
 10. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  jamani kulima tulime sie halafu pakuuza mtupakie nyie. Kwa nini mnatunyanyasa wakulima? Badala ya kuhakikisha chakula kinazalishwa cha kutosha ili kuwanyanyua wakulima kutoka kwenye umaskini mnaendelea kuwakandamiza na sheria zenu mbovumbovu. Ndo mnategemea wawekezaji wakubwa watawekeza kwenye kilimo cha nafaka kwa staili hii?
   
 11. n

  nrango Senior Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  That is good,wacha wauze sana tu wakusanye yote wauze..nasema hivi sababu mkulima ananyanyaswa sana,serikali imeshindwa kununua kwa bei halisi ndo maana vijana wanakimbilia mjini,wanaachana na kilimo kisichokuwa na tija..heri wauze kuliko yawaharibikie,heri wauze waweze kutumia fedha wanazopata kwa kujengea,kukuza mitaji,kulipia watoto ada n.k...kamwe wananchi hawatopata njaa kwa hilo bali ni changamoto na kilimo kitakua pele mazao yatakapopatiwa soko bora na la uhakika,hata mimi nitawekeza kwenye kilimo kama soko lipo...
   
Loading...