Usafirishaji kwa njia ya pikipiki kupigwa marufuku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usafirishaji kwa njia ya pikipiki kupigwa marufuku

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Majala Kimolo, Jun 22, 2009.

 1. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2009
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani naomba tusaidiane, nimepata tetesi kuwa biashara ya usafirishaji kwa njia ya pikipiki itapigwa marufuku eti kwa sababu ya matukio ya mauwaji ya waendeshaji wake. Kama ni kweli naomba kuhoji uwezo wa kufikiri wa mamlaka inayojaribu kuchukua hatua hizi. Hivi mbona hawajakataza Taxi kubeba abiria mbona na wao walishatekwa sana? mbona hawavunji nyumba za watu kwa sababu zilishawahi kuingiliwa na majambazi? au mbona sioni wao kupanda baiskeli kwa sababu gari lilishawahi kuua kiongozi mkubwa serikalini. Nathubutu kuhoji uwezo wao hasa kufuatia matukio ya hivi karibuni: Ukiukwaji wa sheria na kanuni za vyombo vya habari, dawa yake ni kila mmiliki awe na chombo kimoja tu! Ukitumia vibaya misamaha ya kodi dawa yake ni kuifuta hiyo misaada. Jamani kumbe tunahitaji wawekezaji katika akili zetu? Rich Dady and Poor Dady
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,813
  Likes Received: 1,057
  Trophy Points: 280
  mbona tra wanaanza usajiri wa pikipiki za biashara na kodi kwa mwaka ujao wameshachukua? pitia chanzo chako vizuri.
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jun 22, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nionavyo mimi nafikiri hii ni njia sahihi at least kwa kuanzia wakati tunatafuta mbinu sahihi ya kupambana na hawa majangili. Kusema kweli vifo vya hawa waendesha pikipiki vimezidi san ana vinasikitisha. Tofauti na Tax ambayo dereva unawezakumpakiza mwenzako ili muwe wawili incase of anything pikipiki ni vigumu na dereva ni lazima awe peke yake so inakuwa rahisi kwa wauaji.

  Ni mtazamo wangu tu!!
   
 4. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Zinaitwa "UKIMWI WA WACHINA"!
  kuna maeneo hakuna usafiri mwingine zaidi ya huo itakuwaje?
   
 5. Amosam

  Amosam Senior Member

  #5
  Jun 22, 2009
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeshanunua zangu mbili kwa ajili ya biashara ya kusafirisha watu kwembe,sasa itakuwaje au ndio imekula kwangu?
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Jun 22, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kama unao mpango kabambe wa kujizatiti na hao wauaji endelea baba kwa raha zako ile ushauri wa bure

  Uwe unaendesha mwenyewe zote mbili ili tu likitokea la kutokea basi usilete majonzi kwa familia za watu!! (Utakaowaajiri)- joke
  Seriously note: Jitahidi uwe na kinga kwa ajili ya haya majambazi!! Juzi kati niliona maiti za vijana wawili wa nadhani Mbezi Tangi bovu waliopakia abiria kwenye pikipiki wakaishia kuuliwa niliumia sana - tena mmojawao (nadhani alikuwa akiitwa Shirima alikuwa na ndoa changa tu ambayo ilikuwa ndo imejibu katoto bado kadogo!! Nilisikitika sana!
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Hao wanaosema hivyoo......wote wanatembelea mashangingi......tuu
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Jun 23, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Watanzania bwana ndio nyie nyie mkijakumbwa na dhahama mnaanza kuilaumu serikali!!

  Haya jisomee mwenyewe hapa then endelea kuwashauri wenzako waendelee kuutumia usafiri huo
  Global Publishers - Tanzania Newspapers
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mimi nashauri usafiri huu upigwe marufuku!
   
 10. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ukweli pikipiki zimeua wengi. Kuna habari za kusikitisha sana huko Mwanza na Bukoba. Tatizo pia madereva wake wengi sijui ni vijana sana, hawako makini. Hukimbiza hovyohovyo. Naunga mkono zisiruhusiwe kufanya biashara. Bora punda kuliko pikipiki.
   
 11. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Usafiri wa pikipiki ni mzuri ila suala la leseni lihakikiwe na utaratibu wa kutumia barabara kati ya magari na pikipiki waelimishwe madereva.
   
Loading...