USAFIRI

egentle

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
810
376
Habari wakuu,

Hivi hakuna vigari au usafiri wa usiku kama yale yanayo sambaza magazeti, kutoka Tanga hadi DAR??
 
Kuna ungo stendi iko Magaoni unatua kwa mfugapaka Tandale nane usiku. Nauli yako tu
 
Njoo mpaka segera magari bona mengi tu ziko fuso za lushoto zinazoleta matunda dar.
 
Back
Top Bottom