Usafiri wetu wakati tunasubiri maisha bora!!

Mtangoja milele hayo m aisha bora.
Kina low acer wanajenga maghorofa ya mabilioni kila kukicha.
Sasa we jiulize, wenyewe waende wapi ili kuwapisha nyie myachukue hayo maisha bora?
 
Mtangoja milele hayo m aisha bora.
Kina low acer wanajenga maghorofa ya mabilioni kila kukicha.
Sasa we jiulize, wenyewe waende wapi ili kuwapisha nyie myachukue hayo maisha bora?

Hapa ntabisha....huu ni uzembe wa mmiliki gari haina matengenezo JK alaumiwe?
 
Tatizo sio mwenye gari hiyo ndo public transport ya eneo husika na wanalitegemea ilo gari sana tu kwa usafiri...
 
Tatizo sio mwenye gari hiyo ndo public transport ya eneo husika na wanalitegemea ilo gari sana tu kwa usafiri...

Basi hao wakaazi nao ni tatizo...alipeleke kwa wakwe zangu jeuri kule MARANGU aone kama watapanda
 
Hii gari is the best kwa this generation hasa DaresSalaam ambapo kugongwa au kupigwa pasi ni common
 
Ilo gari utadhani limefanyiwa surgery kwa jinsi lilivyoshonwa!!!
 
Umecheki namba zake?? hata kodi na bima halilipiwi...full mifaida!

Na kwa gari hiyo hata wewe ununue coaster mayai itachoka na utaiweka juu ya mawe lakini hiyo bado inadunda tu na kila siku hesabu si chini ya 100,000 no bima,no TRA no road lisence basi ni raha tu kwa mwenye usafiri huo.
 
Jamani maisha bora yataletwa na mtu husika jinsi atakavyopangilia mipango yake. Siku ina masaa 24, ya kulala ni 8 yanayobaki unayatumia kuzalisha au umbeya, kucheza bao, kutembelea jamaa na marafiki huko unangojea maisha bora!!!!
 
"Maisha bora" is unrealistic as long as CCM is in power. it can only get worse, ni five years time when we reflect back, we shall find that in 2010 life was better, so expert the worst and get ready for its consequence especially economically, politically and Socially....then we shall know that CCM was a wrong "choice", a curse for this country and not a blessing at all....tunapochagua tufikiria sana na tusisukumwe tu na sentiments za politicians, tusidanganyike na false promises, tusiwe blinded na the fact that "we have always been CCCM", etc etc etc....we must see beyond what we see....and let us somehow, each one of us, in their own way, individually and cooperatively, make effort to sensitize our own people. We can all make a difference instead kusubiri tu Slaa, Nobwe, Lisu and the likes of CDM, wote wanaopenda nchi hii na wanaopenda changes for better life, tutaweza kusaidia kuleta mabadiliko irrespective of our political affiliation. Tusifungwe sana na kutetea status quo....nani asiyependa maisha bora?
 
Jamani maisha bora yataletwa na mtu husika jinsi atakavyopangilia mipango yake. Siku ina masaa 24, ya kulala ni 8 yanayobaki unayatumia kuzalisha au umbeya, kucheza bao, kutembelea jamaa na marafiki huko unangojea maisha bora!!!!
haya ngoja nianze..
.nna shida nataka huduma Bank masaa matatu, napeleka mtoto hospitali masaa manne, napanda dalalala kufika nyumbani masaa 3, hapa bado sijazungumzia polisi, ofisi za serikali....we hayo masaa unayo ongelea ni ya wapi? We maisha bora ni za zaidi ya hapo unapofikiri...."tuache propaganda hizo"
 
Jamani maisha bora yataletwa na mtu husika jinsi atakavyopangilia mipango yake. Siku ina masaa 24, ya kulala ni 8 yanayobaki unayatumia kuzalisha au umbeya, kucheza bao, kutembelea jamaa na marafiki huko unangojea maisha bora!!!!

Hivi umeshawahi kujiuliza kwann tunalipa kodi??when we pay taxes we expect back madawa tunayohitaji tena ya kutosha, umeme wa kuaminika, maji safi na salama ya uhakika and most of all miundombinu (infrastructures) itakayotuwezesha kutusaidia ktk shughuli zetu za kila siku. Sasa kama barabara ni mbovu unategemea kuna mtu mwenye akili anaweza kuleta gari lake kubeba mazao yetu??kwaiyo unategemea maisha yatu yatakuwa bora lini kwa usafiri kama huo hapo juu??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom