Du asanteni kwa mpango huo basi tena ngoja nikimbilie Fastjet,nilitaka niende na Tazara ili uwe kama utalii wa ndani lakini ni kama haiaminiki ,mambo ya kulala maporini tena.Asanteni sana kwa taarifa
nenda na basi tu mkuu au ndege, kwani unatoka saa 9:50 mchana likienda vizuri kesho mchana mbeya, ila likikwama njian utakoma na linakwma sana ata juzi tu.... Nauli ni haipiti elfu 30 na express ni ijumaa tu.
ni j4 ndyo exp na ijmaa ni ordnary cjui kma wamebadili ratiba .hta mi nilisafiri j4 nayo