Usafiri wa TAZARA kwenda Mbeya

KyelaBoy

JF-Expert Member
Nov 9, 2008
206
22
Kwa anayejua ratiba ya Express train kwenda Mbeya kutoka Dar na nauli yake kwa daraja la kwanza kulala,naomba anihabarishe pia muda wake wa kuondoka Dar na kufika Mbeya,nimeangalia mtandao wa TAZARA kitu kama ratiba ya train na nauli hakipo
 
nenda na basi tu mkuu au ndege, kwani unatoka saa 9:50 mchana likienda vizuri kesho mchana mbeya, ila likikwama njian utakoma na linakwma sana ata juzi tu.... Nauli ni haipiti elfu 30 na express ni ijumaa tu.
 
Du asanteni kwa mpango huo basi tena ngoja nikimbilie Fastjet,nilitaka niende na Tazara ili uwe kama utalii wa ndani lakini ni kama haiaminiki ,mambo ya kulala maporini tena.Asanteni sana kwa taarifa
 
nalinaloondoka leo ijumaaa, bado alijafika dar lilikwama njiani labda mchana litafika.
Du asanteni kwa mpango huo basi tena ngoja nikimbilie Fastjet,nilitaka niende na Tazara ili uwe kama utalii wa ndani lakini ni kama haiaminiki ,mambo ya kulala maporini tena.Asanteni sana kwa taarifa
 
nenda na basi tu mkuu au ndege, kwani unatoka saa 9:50 mchana likienda vizuri kesho mchana mbeya, ila likikwama njian utakoma na linakwma sana ata juzi tu.... Nauli ni haipiti elfu 30 na express ni ijumaa tu.

ni j4 ndyo exp na ijmaa ni ordnary cjui kma wamebadili ratiba .hta mi nilisafiri j4 nayo
 
Back
Top Bottom