Usafiri wa ndege na raha unayoijua mwenyewe

Je ni wakati gani kati ya haya yafuatayo ambapo huwa unijiskia raha unayoijua mwenyewe pale uposafiri na ndege?
1. Pale unapofika airport na kuwatazama wale wasindikizaji wanapokuangalia ukielekea kwny mstari wa kukaguliwa ticket na kitambulisho;
2. Au pale ukipewa boarding pass;
3. Au pale ukikaa kusubiri boarding time huku unapata kiburudisho toka zile cafe za airport ndani;
3. Au ni pale ukiskia tangazo la maelekezo ya boarding;
4. Au ni pale ukiingia kwny zile shuttle bus za airport kuelekea kwny ndege;
5. Au ni pale ukiwa unaweka bag dogo lako kwny zile locker za ndani na kisha ukifunga mkanda na kuskiliza announcement za air hostess;
6. Au ni pale ndege ikiwa iko inafanya taxing;
7. Au ni pale ndege ikiwa kwny runway full speed;
8. Au pale sasa ndege ikiwa imeanza kuruka na mdogo mdogo inaelekea juu;
9. Au ni pale air hostes wakitangaza muda si mrefu wataanza kupitisha viburudisho;
10. Au ni pale ndege ikiwa inatikisika kutokana na mawingu;
11. Au ni pale ukiskia tangazo toka kwa rubani yakua baada ya muda mfupi ndege itaanza descending kuelekea kutua;
12. Au ni pale ndege ikiwa inaanza kukaribia chini na kufanya landing;
13. Au ni pale ikiwa inakimbia kwa spidi na kali imetua na kisha reverse thrust aka breki kuwa engaged na pilot kisha ndege kupungiza spidi;
14. Au ni pale ndege ikiwa imesimama na unatoka nje;
15. Au ni pale ukiwa unasubiri mzigo wako;
16; Au ni pale ukiwa unatoka nje na kuona wapokeaji wanawatazama kucheck ndugu zao.
Napendelea kwenye AU.Sipendi kujichosha.
 
Me napataga raha pale unapoulizwa aina ya kinywaji then unaagiza bia hasa safari ndefu za zaidi ya masaa 6+
Yaani akipita host wa kushoto unaagiza na akipita wa kulia unaagiza.
Kuna safari moja nilisafiri masaa 11 nikafika nimelewa sijitambui. Nashuka Dallas DC ni raha sana jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
16..asee kwa mbongo ukitua USA ukifikia hii namba inafaraja kubwa sana.
 
Je ni wakati gani kati ya haya yafuatayo ambapo huwa unijiskia raha unayoijua mwenyewe pale uposafiri na ndege?
1. Pale unapofika airport na kuwatazama wale wasindikizaji wanapokuangalia ukielekea kwny mstari wa kukaguliwa ticket na kitambulisho;
2. Au pale ukipewa boarding pass;
3. Au pale ukikaa kusubiri boarding time huku unapata kiburudisho toka zile cafe za airport ndani;
3. Au ni pale ukiskia tangazo la maelekezo ya boarding;
4. Au ni pale ukiingia kwny zile shuttle bus za airport kuelekea kwny ndege;
5. Au ni pale ukiwa unaweka bag dogo lako kwny zile locker za ndani na kisha ukifunga mkanda na kuskiliza announcement za air hostess;
6. Au ni pale ndege ikiwa iko inafanya taxing;
7. Au ni pale ndege ikiwa kwny runway full speed;
8. Au pale sasa ndege ikiwa imeanza kuruka na mdogo mdogo inaelekea juu;
9. Au ni pale air hostes wakitangaza muda si mrefu wataanza kupitisha viburudisho;
10. Au ni pale ndege ikiwa inatikisika kutokana na mawingu;
11. Au ni pale ukiskia tangazo toka kwa rubani yakua baada ya muda mfupi ndege itaanza descending kuelekea kutua;
12. Au ni pale ndege ikiwa inaanza kukaribia chini na kufanya landing;
13. Au ni pale ikiwa inakimbia kwa spidi na kali imetua na kisha reverse thrust aka breki kuwa engaged na pilot kisha ndege kupungiza spidi;
14. Au ni pale ndege ikiwa imesimama na unatoka nje;
15. Au ni pale ukiwa unasubiri mzigo wako;
16; Au ni pale ukiwa unatoka nje na kuona wapokeaji wanawatazama kucheck ndugu zao.

NDEGE NI USAFIRI TU, YANI NINA ENJOY KUPANDA NDEGE KAMA NAENDA DAR TOKA ARUSHA OR ZANZIBAR, LAKINI IKISHAANZA TU YA MWANZA, DUBAI, DOHA, USA, AND THE WORSE CASE AUSTRALIA NINAUMWA, NA HUWA NABEBA DAWA YA USINGIZI, I DONT LIKE NDEGE KABISA!
 
Je ni wakati gani kati ya haya yafuatayo ambapo huwa unijiskia raha unayoijua mwenyewe pale uposafiri na ndege?
1. Pale unapofika airport na kuwatazama wale wasindikizaji wanapokuangalia ukielekea kwny mstari wa kukaguliwa ticket na kitambulisho;
2. Au pale ukipewa boarding pass;
3. Au pale ukikaa kusubiri boarding time huku unapata kiburudisho toka zile cafe za airport ndani;
3. Au ni pale ukiskia tangazo la maelekezo ya boarding;
4. Au ni pale ukiingia kwny zile shuttle bus za airport kuelekea kwny ndege;
5. Au ni pale ukiwa unaweka bag dogo lako kwny zile locker za ndani na kisha ukifunga mkanda na kuskiliza announcement za air hostess;
6. Au ni pale ndege ikiwa iko inafanya taxing;
7. Au ni pale ndege ikiwa kwny runway full speed;
8. Au pale sasa ndege ikiwa imeanza kuruka na mdogo mdogo inaelekea juu;
9. Au ni pale air hostes wakitangaza muda si mrefu wataanza kupitisha viburudisho;
10. Au ni pale ndege ikiwa inatikisika kutokana na mawingu;
11. Au ni pale ukiskia tangazo toka kwa rubani yakua baada ya muda mfupi ndege itaanza descending kuelekea kutua;
12. Au ni pale ndege ikiwa inaanza kukaribia chini na kufanya landing;
13. Au ni pale ikiwa inakimbia kwa spidi na kali imetua na kisha reverse thrust aka breki kuwa engaged na pilot kisha ndege kupungiza spidi;
14. Au ni pale ndege ikiwa imesimama na unatoka nje;
15. Au ni pale ukiwa unasubiri mzigo wako;
16; Au ni pale ukiwa unatoka nje na kuona wapokeaji wanawatazama kucheck ndugu zao.

NA ENJOY TU DESTINATION, LAKINI PROCESS YA KUNGOJA, KUPANDA, KUTUA BLABLA, KWANGU NI TABU SANA!
 
Pale vile vidada vinakuja kuniuliza. Unapenda wali nyama ama samaki? Mara kinarudi Tena.. Unapenda Kahawa ama chai? Mara kinarudi Tena.. Unataka Juice ama Soda ama wine? Mara kinarudi Tena.. Unataka kinywaji zaidi? Mara kinarudi Tena. Unasikia baridi nikupatie blanket. Mara kinarudi tena nyoosha kiti chako. Mara kinarudi Tena unahitaji mto? Kwa lugha yao sasa sio kwa kiswahili souti inakuwa sio laini sana.
 
Back
Top Bottom