Usafiri wa mabasi kwa baadhi ya mikoa sasa kuchukua mpaka siku mbili kufika

tuko hapa Nzega askari wametuzuia sababu eti gari inakimbia sana, so tunasubiri kesho tuendelee na safari kuelekea Bukoba. kwa sasa ni kujiachia tu, hakuna namna
Kwa hiyo agizo limeshaanza kutekelezwa?? Huu unapaswa kuwa mpango wa muda. Wataalamu waje na mpango wa kudumu ambao utaendana na hali ya maendelea ya kiteknolojia na kiuchumi duniani.
 
Naomba iwe hivyo maana tunajenga bonge la stend hapa singida kwa ajili ya hayo magari.Acha tuongeze mapato bwana.
 
Unajua ni kwanini wanakulaza hapo mida ya saa 4? Ni kuwa wanajua kwa saa 2 tu huwezi kufika Mbeya na wakikuruhusu ni kwamba utaendesha hadi unafika maana baada ya Makambako hakuna checkpoint inayofanya kazi usiku iwapo ya mpakani na Mbeya hawapo.
Ni kweli maana Igawa pale saa 3 mara nyingi jamaa wanakuwa washaondoka
 
Hayo ni mawazo yako. Ilitakiwa waangalie uwezekano wa kuboresha barabara ili watu watumie masaa sita kwenda mbeya kwa usafiri wa gari. Hii dunia inasonga mbele wala hairudi nyuma. Mtaishia kuwa watumwa milele kwa kukosa maarifa na fikra
Barabara ya singida dodoma nyeupeee,mabasi mawili peke yao,wamegongana uso kwa wamelengana kwanza,halafu wakaweka gea wakaanza kutimua vumbi,watu 30 wamekufa papo hapo
Sasa wewe unakuja tna ushauri wa kutanua barabara wafike ndani ya masaa6? Itabidi kuwe na makaburi pembezoni mwa barabara zote
 
Barabara ya singida dodoma nyeupeee,mabasi mawili peke yao,wamegongana uso kwa wamelengana kwanza,halafu wakaweka gea wakaanza kutimua vumbi,watu 30 wamekufa papo hapo
Sasa wewe unakuja tna ushauri wa kutanua barabara wafike ndani ya masaa6? Itabidi kuwe na makaburi pembezoni mwa barabara zote
Ajali nyingi zinazotokea ni kutokana na ubovu wa barabara. Nina hakika kama ingekua ni mwendo, basi watengenezaji wa magari wangeweka speed ndogo. Jiongeze kijana. Barabara zikiwa pana itasaidia kupunguza hizo ajali. Na isitoshe hiyo ajali unayoisemea wewe ni makosa ya madereva wenyewe na sio speed ya gari. Hata wangeenda na speed ndogo kwa mchezo huo lazima ajali itokee. Hivyo hiyo haiwezi kuwa hoja. Labda ingeniambia waboreshe usalama ili michezo hiyo ife
 
Wazo zuri sana.mabasi kusafiri iwe mwisho 800 km per day.dereva wa basi ya abiria ya mkoa awe above 40 to 60 only.mabasi yasisagiri usiku kwani hakuna uthibiti.kosa kwa dereva wa basi iwe kifungo na sio faini.basi likizidisha recomended speed dereva na abiria wote adhabu.mabasi yawe na permamnent drive na siyo day waka.serikali iimarishe usafiri wa reli.maji.pia naomba kumpongeza kamanda wa morogoro na iringa anavyodhibiti speed.kanda ya ziwa mabasi yanakimbia sana naomba wahusika wachukue hatua
 
Kwetu rombo nipo songea nitatumia plan b washkaji wa mafuso nitadili nanyi najua mambo yatakuwa fresh chezea m-bongo
 
Kwetu rombo nipo songea nitatumia plan b washkaji wa mafuso nitadili nanyi najua mambo yatakuwa fresh chezea m-bongo
 
Kwetu rombo nipo songea nitatumia plan b washkaji wa mafuso nitadili nanyi najua mambo yatakuwa fresh chezea m-bongo
 
Kwetu rombo nipo songea nitatumia plan b washkaji wa mafuso nitadili nanyi najua mambo yatakuwa fresh chezea m-bongo
 
Kwetu rombo nipo songea nitatumia plan b washkaji wa mafuso nitadili nanyi najua mambo yatakuwa fresh chezea m-bongo
 
Waliozoea kusafiri kwa mabasi kwa siku moja kutoka Dar es salaam kwenda Mbeya na kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza na kwingineko kwenye umbali sawa na huo.

Sasa inabidi wajipange kisaikolojia kutumia siku mbili kukamilisha safari hizo.
Hayo yamebainishwa na Meneja Usalama Barabarani na Mazingira wa SUMATRA, Geofrey Silanda.

Uamuzi huo umetokana na utafiti uliofanywa na mamlaka hiyo na kubaini kwamba mabasi yanayofanya safari kwenye mikoa hiyo hayapaswi kusafiri kwa siku moja


View attachment 376295

Chanzo: EATV

Toa maoni yako
Kuna hatari hata maendeleo yatazidi kuchelewa
 
Napiga picha ndani ya New force Dar kwenda Mbeya pembeni yangu nimekaa na kichuna kizuriii halafu tunafika ilula ambapo me naamini ndio nusu safari tunaambiwa basi linalala,nakuhakikishia hii mambo ya mabasi kulala itakuja kuleta mabalaa mengine ya kuvunja mahusiano ya watu au ndoa Zisizo rasmi....Nimewaza kwa sauti tu
 
Napata shaka sana juu ya weredi wetu juu ya ajili za barabarani. Binafsi nimeiona viongozi pamoja na kuendeshwa na Madereva professional nao wanapata ajali,polisi wenyewe wanao simamia Sheria kwa mikogo yote nao Mara nyingi wanapata ajali na kudhurika.
Suala la kupunguza au kuondoa ajali kwa kwenda km 80 @ hr ni kutojiamini. Madereva wanapaswa kupimwa Afya zao kuwa timamu ktk maradhi kama sukari,pressure,ulevi nk ili kuweza kuokoa maisha ya wananchi wetu na majanga ya ajali zisizo za lazima.
Napata shida,nimetoka Arusha SAA 12.00/Asubuhi na kufika dar SAA 01.00/usiku,nilichoka sana nikakumbuka enzi za Mabus yetu ya Leyland ashok yasiyo na mwendo Kasi na kuchukua siku kadhaa toka mkoa mmoja hadi mwingine.
Inatubidi tuangalie kama Taifa sababu zaidi za ajali nchini maana kwa mwendo huu tutachelewesha Maendeleo yetu,walau mwendo uwe 120 @ hr,
Ni ushauri Tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom