Usafiri wa kwenda moshi

majeshi 1981

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
2,090
812
Nataka kwenda moshi noeli, naomba ambao mmeshasafiri mnipe hali halisi ya usafiri, kama ni mbaya nisubiri mpaka ngera ya noeli! Natarajia kuanzia safari yangu bandari ya salama!
 
Biashara ya kwenda na kurudi Moshi kipindi hiki ni demand vs supply tu..hamna nauli ya kueleweka..mtu wangu wiki iliyopita ametoka Moshi na akalipa 40..na magari yalikuwa hakuna kabisa
 
Back
Top Bottom