Usafiri wa Dar kwenda Mbeya unasumbua?

ninjaa

Member
Sep 4, 2016
8
1
Za asubuhi jamani,

Ningependa kuuliza usafiri pale Ubungo kwenda Mbeya sio wa shida, maana nataka nisafiri Ijumaa.

Kuna tetesi mabasi yanajaa sana kwenda huko ni kweli? Mwenye taarifa labda aliyeenda kukata tiketi hivi karibuni anijuze.
 
tuma pesa kwa namba hii 0715653610 ukija utaikuta tiketi yako getini pale niamini mkuu!
 
Back
Top Bottom