Usafiri wa Basi from Dar es Salaam to Johannesburg

Habari wanaJF..
Nipo na plan ya kusafiri Dar -Jo'burg kwa bus. Naomba msaada kufahamu yafuatayo;
Safari inachukua siku ngapi?
Route ipi ni the best kati ya kupitia Lusaka au lilongwe?
Nauli ni bei gani, kampuni ipi ya mabasi ipo vizuri?
Na kingine chochote cha kuzingatia kwenye safari..
Mkuu sitisha safari yako kwa sasa, si unaona hali ya hewa ya kule ilivyo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom