Usafiri jijini Mwanza

skumbuzo

Member
Jun 6, 2016
8
2
Kwa yeyote Aliye mwanza au anatembelea Jiji la mwanza napenda kumkaribisha endapo atahitaji usafiri wa kumzungusha kwa shughuli zake.basi awasiliane nami kwa namba 0742265564.atapata usafiri wa gari ndogo kwa bei Nafuu,kwa wakati wote.karibuni sana
 
mkuu hiyo ni self-drive ama?halafu nyie watu wa mwanza tugari twenu tuchafu sana yaani mtu unapanda taxi utadhani upo chooni harufu mbaya sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom