Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,583
Nyani Ngabu mbona usafi ni mwepesi sana na unawezekana tu.tatizo wadada wengi wanajisahau.wala haihitaji mambo ya kizungu kujiweka saf
Kuna mambo ya kizungu kwenye usafi?
Nyani Ngabu mbona usafi ni mwepesi sana na unawezekana tu.tatizo wadada wengi wanajisahau.wala haihitaji mambo ya kizungu kujiweka saf
Hapo kwa blue unamaanisha nini?Wkt mwingine unaweza ukawa unalalama bure tu kwamba huna bahati ya kudumu kwenye mahusiano au kupata mwanaume wa kukuoa kumbe tatizo liko kwako ww mwenyewe
Utakuta demu mkali tu tena ni 'working class', ila wkt unamuandaa kwa ajili ya 'bed_fight' unakutana na harufu flaniflani either makwapani, kwenye nywele, ananuka mdomo n.k, au unakuta kavaa chupi/braa nyeusi-its obvious atakua mchafu tu, iweje apendelee rangi ambayo ni 'rafiki wa uchafu'
Personally nikigundua una udhaifu huu, sitakutumia siku hiyo, au ukibahatika nikakutumia basi sitarudia
Hebu badilikeni bwana, bodyspray kibao mitaani, tena bei chee!
Hapo kwa blue unamaanisha nini?
Mimi wigi lile dah!
Kunyasi (angalia astringent kwenye kamusi ya TUKI, ile ya Kiingereza-Kiswahili) siyo lotion.
Google and Bing are also your friend. Utilize them.
as·trin·gent ( -str n j nt)
adj.
1. Medicine Tending to draw together
or constrict tissues; styptic.
2. Sharp and penetrating; pungent or
severe: astringent remarks.
n.
A substance or preparation, such as
alum, that draws together or
constricts body tissues and is
effective in stopping the flow of
blood or other secretions.
[Latin astring ns, astringent-, present
participle of astringere, to bind fast :
ad-, ad- + stringere, to bind; see
streig- in Indo-European roots.]
Amemaanisha nyie ni kama vyombo tu, kikiwa kichafu hawezi kukitumia hata kidogo
Kibongo bongo ni vigumu sana kuwa na viwango vya juu vya usafi wa mwili.
Kwanza, hakuna elimu ya kutosha kuhusu usafi wa mwili. Watu hawajui hata tofauti ya deodorant, antiperspirant deodorant, na body spray.
Pili, vitendea kazi na viwezeshaji hakuna vya kutosha. Havipatikani kiurahisi. Hebu nenda hapo kwa Mangi uulizie kama ana astringent (kama hata unaijua ni nini).
Tatu, maisha magumu. Watu hawana bajeti ya kutosha kuwawezesha kununua vitu ambavyo si muhimu sana katika uhai wao sembuse viondoa harufu, visafisha kinywa vya ziada, na kadhalika?
Nne, miundomsingi isiyoaminika. Maji kukatika hovyo, sehemu zingine ndo hayatoki kabisa. Kwingine hutoka bila mpango maalumu hivyo kulazimika kuyategea kimachale machale. Umeme nao haueleweki.
Tano, kutokuwa na mazoea ya kwenda kufanyiwa physical kila mwaka.
Dah!!!
Heheh!!! ndio hivyo besti.
Ila mimi chombo kikiwa kichafu lazima nikioshe vizuri tayari kwa maakuli.
Mkuu hata Mawigi yao yananuka sana, kule chini kunatoa harufu balaa kwa wale tunatoa maandalizi kwa kulamba critoris tunakoma kabisa.Unalamba critoris huku umebana misuri ya pua.Usafi ni jambo la muhimu ktk majambos.Tena wadada mliozaa mnatuangusha sana mnatoa harufu za kijinga wakati maji, manukato,etc yapo ya kutosha.
Heheh!!! ndio hivyo besti.
Ila mimi chombo kikiwa kichafu lazima nikioshe vizuri tayari kwa maakuli.[/QUOTE]
Sijui kwa nini ila yale maneno pamoja na tafsiri yako vimeniumiza sana!
Heri yako wewe unayekosha mwenyewe
Jack of all trades eh? Impressive.
Hahaaaa dah.. Wawe wanachagua 2 days ktk month ya kujisafisha tu ukweli ni nomaaa
Mi nina imani kabisa kuna wengine hapa hamma hata bajeti za body spray, deodorant wala pafyum kwa wake zenu au magirlfriend halafu mnakuwa wa kwanza kulalama kunukia.
Mnawanunulia Cobra sijui kulsum, red rose halafu mnataka kusikia harufu za Hugo, secret, issemyak.
Acheni mezani hela za saloon wakaoshe nywele kila week. Kwa usafi wa kawaida unamwelekeza tu bwana kaoge au kanawe ila kwenye mirashi lazima muwanunulie.
Wkt mwingine unaweza ukawa unalalama bure tu kwamba huna bahati ya kudumu kwenye mahusiano au kupata mwanaume wa kukuoa kumbe tatizo liko kwako ww mwenyewe
Utakuta demu mkali tu tena ni 'working class', ila wkt unamuandaa kwa ajili ya 'bed_fight' unakutana na harufu flaniflani either makwapani, kwenye nywele, ananuka mdomo n.k, au unakuta kavaa chupi/braa nyeusi-its obvious atakua mchafu tu, iweje apendelee rangi ambayo ni 'rafiki wa uchafu'
Personally nikigundua una udhaifu huu, sitakutumia siku hiyo, au ukibahatika nikakutumia basi sitarudia
Hebu badilikeni bwana, bodyspray kibao mitaani, tena bei chee!