Jinsi ya kufanya Usafi wa Mwili

Jinsi ya kufanya Usafi wa Mwili

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,109
Reaction score
8,131
Kuna uzi wangu mmoja nilielezea sana namna nilivyokuwa nachomekea shati kwenye suruali.

Leo nataka nilelezee kidogo kuhusu usafi wangu wa mwili. Muhimu ni haya mambo 2:

1.Kupiga mswaki, ambapo huwa napiga mara 3 kwa siku yaani asubuhi nikiamka,mchana baada ya kula na usuku baada ya kula.Hivi nafanya hata nikisafiri,iwekibinafsi au kikazi kwenye kuna mswaki na dawa ya meno.

Napopiga mswaki huwa sisukutui kabisa mdomo baada ya kupiga mswaki,yaani nikimaliza kuoiga mswaki nachukua maji ama yaliyochemshwa au ya kununua na naweka mdomoni,nayazungusha mdomoni nakuyameza sisukutui na kuyatema,na huiacha dawa ya meno kwa dakika 2 mdomoni bila kuweka maji.Situmii toothpicks kabisa.

2.Usafi wa masikio, situmii earbuds kabisa, uchafu wa masikio naosha kwa maji tu. Hii inaniwezesha kulinda meno yangu na masikio yangu.Mpaka sasa ninaelekea miaka 65,nimetoa jino moja tu la juu.
 
Hutumii toothpick mkuu... sasa ukila chakula Kikibaki kwenye meno si ndo kinaoza ? Na hiki ni chanzo kikubwa sana cha watu kunuka midomo....watu hawaijui hii siri !

Mswaki nakuunga mkono... if possible tunatakiwa kuswaki kila baada ya mlo ... lakn mazingira yanatubana kaz n.k so walau najitahidi usiku kabla ya kulala, na asbh !!!

Masikio ni muhimu upitishe kitu kikavu...Cottonbuds.... baada ya kuoga kuna vile vimaji vinabaki !

All in all usafi ni ishu binafsi.... kuna watu hawanyoi mavu.....zi kabisa... chaguo ni lako
 
Mkuu wewe na aya huwa mna ugomvi gan

Sawa,natumia vifaa fulani hivi ambavyo unavipitisha katikati ya jino na jino na kutoa uchafu,huwa vinauzwa maduka ya madawa au supamaketi.Cotton buds zinakatazwa sana kwani unaweza kupitiliza na kulidhuru sikio
 
hivi vidude ndio navitumia kusafisha uchafu unaobaki kwenye meno badala ya toothpicks
 
Attachments

  • IMG20260514124541.jpg
    IMG20260514124541.jpg
    135.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom