Usafi kwenye ofisi za cuf buguruni veepee?

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,491
8,301
Nawasalimia jamani.
Ninaimani tu kujua kuhusu ule usafi uliopangwa kufanyika makao makuu ya cuf.Je ulifanyika salama?
Mwenye taarifa anijulishe hapa tafadhali.
 
Back
Top Bottom