USA wamekamilisha chanjo dhidi ya Corona, mnaombwa mjitoe mhanga mkawe wa kwanza kujaribisha

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,404
Kwa wale hutamani kuzamia USA hii fursa ya wazi, chanjo iko tayari na USA wametangaza wakiomba mjitokeze mlio tayari kufanyiwa majaribio ya uwezo wake kuzuia kirusi cha Corona.

Wanahitaji watu 45, majasiri wa kuokoa dunia mnakaribishwa mkajitoe mhanga, mkifaulu utalipwa vizuri na unaweza ukabaki huko huko unakula bata, ila kirusi kikiipiga chanjo basi ndio hivyo tunakufukia ardhini.

====
Researchers in Seattle have begun recruiting healthy volunteers to participate in a clinical trial for an experimental COVID-19 vaccine, according to news reports.

The vaccine, developed by the biotechnology company Moderna Therapeutics, was initially sent to the National Institute of Allergy and Infectious Diseases (NIAID) in Maryland on Feb. 24, according to The Wall Street Journal.

The agency anticipates launching a clinical trial by the end of April and will sponsor the Kaiser Permanente Washington Health Research Institute to conduct the testing, NIAID Director Anthony Fauci told The Wall Street Journal.

Forty-five healthy volunteers between the ages of 18 and 55 will be enrolled in the initial trial, which aims to determine whether the vaccine triggers an immune response, and whether the given dose causes adverse side effects, according to a description on ClinicalTrials.gov.

Source: Live Science
 
Kwa wale hutamani kuzamia USA hii fursa ya wazi, chanjo iko tayari na USA wametangaza wakiomba mjitokeze mlio tayari kufanyiwa majaribio ya uwezo wake kuzuia kirusi cha Corona. Wanahitaji watu 45, majasiri wa kuokoa dunia dunia mnakaribishwa mkajitoe mhanga, mkifaulu utalipwa vizuri na unaweza ukabaki huko huko unakula bata, ila kirusi kikiipiga chanjo basi ndio hivyo tunakufukia ardhini.
---------------------------------------

Researchers in Seattle have begun recruiting healthy volunteers to participate in a clinical trial for an experimental COVID-19 vaccine, according to news reports.

The vaccine, developed by the biotechnology company Moderna Therapeutics, was initially sent to the National Institute of Allergy and Infectious Diseases (NIAID) in Maryland on Feb. 24, according to The Wall Street Journal. The agency anticipates launching a clinical trial by the end of April and will sponsor the Kaiser Permanente Washington Health Research Institute to conduct the testing, NIAID Director Anthony Fauci told The Wall Street Journal.

Forty-five healthy volunteers between the ages of 18 and 55 will be enrolled in the initial trial, which aims to determine whether the vaccine triggers an immune response, and whether the given dose causes adverse side effects, according to a description on ClinicalTrials.gov.

First coronavirus vaccine trial in the US is recruiting volunteers
Panya na nyani wameisha?
 
Kwa wale hutamani kuzamia USA hii fursa ya wazi, chanjo iko tayari na USA wametangaza wakiomba mjitokeze mlio tayari kufanyiwa majaribio ya uwezo wake kuzuia kirusi cha Corona. Wanahitaji watu 45, majasiri wa kuokoa dunia mnakaribishwa mkajitoe mhanga, mkifaulu utalipwa vizuri na unaweza ukabaki huko huko unakula bata, ila kirusi kikiipiga chanjo basi ndio hivyo tunakufukia ardhini.
---------------------------------------

Researchers in Seattle have begun recruiting healthy volunteers to participate in a clinical trial for an experimental COVID-19 vaccine, according to news reports.

The vaccine, developed by the biotechnology company Moderna Therapeutics, was initially sent to the National Institute of Allergy and Infectious Diseases (NIAID) in Maryland on Feb. 24, according to The Wall Street Journal. The agency anticipates launching a clinical trial by the end of April and will sponsor the Kaiser Permanente Washington Health Research Institute to conduct the testing, NIAID Director Anthony Fauci told The Wall Street Journal.

Forty-five healthy volunteers between the ages of 18 and 55 will be enrolled in the initial trial, which aims to determine whether the vaccine triggers an immune response, and whether the given dose causes adverse side effects, according to a description on ClinicalTrials.gov.

First coronavirus vaccine trial in the US is recruiting volunteers
Anayetaka nauli ya kwenda na kurudi anitafute ?
 
Most vulnerable ni wachina; wachukuliwe hao hao?

Hapa wameomba watu wa kujitolea, sio wao wachukue. Kumbuka hawa ni USA, kidogo wana utu, ingekua Uchina wana chanjo kama hii, wanakusanya watu kwa lazima na kuwateka kisha wanawachanja na kuwatumbukiza humo humo waone nini kitatokea, akipona basi freshi unapewa msosi na kuambiwa urudi kwako, ukikata roho wanakufukia huko huko.
 
Haya mambo ya kujaribishiwa dawa ikidunda unaweza jikuta unageuka likiumbe la ajabu.

Mtaani kama namba hazisomi, miaka yote unahangaika huoni matumaini, badala ya kujitia kitanzi, hii hapa fursa ya kuutumia mwili wako kwa manufaa ya dunia. Hiki kitu ni khatari na kikitua Afrika tutaisha wengi, hivyo bora wadau wajitolee tuwaone na watatunzwa vizuri sana.
 
Mimi nina wazo, hivi kwanini wasijaribishe kwa wale wafungwa waliohukumiwa kifo/kunyongwa in exchange for their lives and freedom?
 
Mimi nina wazo, hivi kwanini wasijaribishe kwa wale wafungwa waliohukumiwa kifo/kunyongwa in exchange for their lives and freedom?

Mpaka mtu anahukumiwa kunyongwa ina maana hapaswi kurud mtaani, au wewe unataka mtu aliyechinja wanawake 20 arejeshwe na kuendelea na biashara yake.
 
Kwa panya na nyani kilishapigwa chini, sasa imefikia hatua ya kumtumia binadamu haswa, jitolee mdau uokoe dunia, hata tukikuzika utatajwa kama hodari na mtu jasiri, kijijini na nchi yako watakutaja na kukukumbuka siku nyingi.

Kama Kuna dau la kuitosha familia na ukoo wangu maisha yao yote basi niko radhi kwenda maaana kufa kufaana tu
 
Back
Top Bottom