Tetesi: USA, UK na China waanza kutumia damu ya waliopona Corona, na hakika imeleta matumaini

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,345
Waafrika tukae mkao wa kusubiri, akili kubwa wazungu wameanza kupiga hatua na hivi karibuni hiki kitu kitaiaga dunia. Tiba inayotumia plasma ya damu (kiswahihili chake??) ya waliopona imeanza kutumika UK na USA, na imeonyesha kufanya kazi maana kila anaayetibiwa anapona ndani ya siku tatu.
Yetu macho maana hatuna mchango wowote walaa kushughulisha ubongo, tumeishia kuomba tu.
=========================

Coronavirus treatment approved in the UK and US which uses blood plasma from recovered patients helps the infected get better within three days
A coronavirus treatment already approved in the UK and US which uses blood from recovered patients can help patients get better, a study has found.

Ten COVID-19 patients in China who were severely ill in hospital saw their symptoms disappear or rapidly improve within three days after the therapy.

They were given a dose of blood donated from COVID-19 survivors, which had the antibodies necessary for their immune system to clear the virus.

Known as convalescent plasma therapy, it has recently been given the green light by medical regulators in the UK and US to trial on critically ill patients, following the lead of hospitals in China.

Coronavirus treatment which uses blood from recovered patients
 
Naona waliopona wakiwa dili na kuanza kutafutwa

Tanzania Tumeponyesha wangapi ? Tuwatumie maana sisi bado tuna wagonjwa wachache

Fursa hii kwa waliopona.
 
Pengine Wachina walianza kutumia ile ya kijana wa Africa aliyepona!
 
Ndo maana tuko tofaut na wao, na tunaishi kwa kutegemeana, watengeneze wao ss tutumie, hutaki andamana
 
Back
Top Bottom