USA: Nimesababisha ajali kwenye taa nyekundu

Ilikuwa ishu ya custody mkuu. Pia humu jf nikishikwa na stress naingia humu jamvini member yeyote akianza matusi huyo huyo nakomaa naye yani hapo ndio nafurahi kichizi ila siku hizi wengi wananipuuza basi naumia Nimebakiza akina Miwani za mbao, @ beiraboy Ncha Kali yenyewe hata ukiingia anga zao hawajali.

Nilileta uzi wa ontario wa Uingereza October man akakurupuka kusikojulikana nakunishambulia nakuniita idiot yani nilifurahi nakurukaruka nikasema fursa. Jamaa nilimuandama sikuwa nampa nafas. Siku hizi kanipuuza
Hahaha Rudi bongo utakufa kwa stress mkuu huko ughaibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota.

Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha yaani, nilipakiwa kwenye ambulance na kupelekwa hospitalini, yaani sikuumia hata kidogo.

Gari ya Hospitali imenirudisha hadi nyumbani kwa Shemeji nipo home, naletewa barua ya siku nayohitajika kwenda mahakamani.

Marekani ni Marekani tu wadau.

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Sasa kama huna makaratasi anza kupaki virago.

God save us
 
Mwenzako aliua mtoto mdgo wa chekechea juzi kati kwenye zebra kabla ya police kuja eneo la tukio tuli mshushia kipigo cha mbwa mwizi na kumtoboa jicho moja
Ninyi ni wendawazimu. Hivi Unajua hizo zebra cross mbazitumia vibaya?

God save us
 
Polisi Denmark walinimaindi kipindi flani cha nyuma. Nilikuwaga na stress nikaamua kupiga emergency number nakata napiga nakata napiga mara 89 huku naangua kicheko cha hatarii.

Wakanikamata nakunipeleka mental hospital eti nahitaji msaada mimi nikawaambia niko vizuri na wasiponiacha baada ya masaa mawili nitajiua yani walipanic. Nikaandika na wosia kabisa nikifa nitajizika mwenyewe kengeh yeyote asithubutu kugusa mwili wangu
Christinianiaaaa bado kupo mzee baba

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo cha kwanza ungeripoti post
Mambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota.

Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha yaani, nilipakiwa kwenye ambulance na kupelekwa hospitalini, yaani sikuumia hata kidogo.

Gari ya Hospitali imenirudisha hadi nyumbani kwa Shemeji nipo home, naletewa barua ya siku nayohitajika kwenda mahakamani.

Marekani ni Marekani tu wadau.

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mkuu pande zipi upon nikupe ofa ya mtori..na kibulu cha USA.!

okay, naishi mitaa ya Eagan japo kibaruani ni katikati ya jiji..Saint Paul

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa ishu ya custody mkuu. Pia humu jf nikishikwa na stress naingia humu jamvini member yeyote akianza matusi huyo huyo nakomaa naye yani hapo ndio nafurahi kichizi ila siku hizi wengi wananipuuza basi naumia Nimebakiza akina Mawaniza mbao, Beira Boy Ncha Kali yenyewe hata ukiingia anga zao hawajali.

Nilileta uzi wa ontario wa Uingereza October man akakurupuka kusikojulikana nakunishambulia nakuniita idiot yani nilifurahi nakurukaruka nikasema fursa. Jamaa nilimuandama sikuwa nampa nafas. Siku hizi kanipuuza
wameona ni mpuuzi mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota.

Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha yaani, nilipakiwa kwenye ambulance na kupelekwa hospitalini, yaani sikuumia hata kidogo.

Gari ya Hospitali imenirudisha hadi nyumbani kwa Shemeji nipo home, naletewa barua ya siku nayohitajika kwenda mahakamani.

Marekani ni Marekani tu wadau.

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Gari la hospitali limekurudisha hadi nyunbani kwa" shemeji" nimekuelewa sana hapo mkuu
 
Kwa hiyo ulijiua
Polisi Denmark walinimaindi kipindi flani cha nyuma. Nilikuwaga na stress nikaamua kupiga emergency number nakata napiga nakata napiga mara 89 huku naangua kicheko cha hatarii.

Wakanikamata nakunipeleka mental hospital eti nahitaji msaada mimi nikawaambia niko vizuri na wasiponiacha baada ya masaa mawili nitajiua yani walipanic. Nikaandika na wosia kabisa nikifa nitajizika mwenyewe kengeh yeyote asithubutu kugusa mwili wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom