Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Wengine wote tumezawadiwa tu huu unaoitwa Uhuru, USA haijapewa Uhuru bali imeuchukuwa kwa nguvu ktk kwa Wakoloni, USA ilipigana Vita na kuwashinda Wakoloni na kuchukuwa Uhuru wao na ndiyo maana wako huru!
Sisi wengine tunadanganyana tu, kilichofanyika ni kwamba Mkoloni kabadilisha namna ya kututawala badala ya kutawala moja kwa moja sasa anatumia njia nyingine, anateua mmoja wetu na ambaye tutamkubali kwa kuona kwamba ni mmoja wetu lkn ukweli ni kwamba yuko kwa ajili ya Muzungu, ndiyo maana mpaka leo hii Waafrika wote wako aidha British Commonwealth ambapo Mkuu wake ni Ufalme wa Uingereza, au Internationale dela Francaphonie na Makoloni ya Ureno nayo yana yao, lkn USA siyo Mwanachama wa huo ujinga, kwa sababu USA ni nchi huru ambapo ilichukuwa Uhuru wake kwa lazima na kwa nguvu, wengine wote Wamama tu, angalia Hati yetu ya kusafiria imeandikwa kama hamna Ubalozi wa nchi yetu hiyo nchi uliopo basi uende Ubalozi wa Uingereza, kwa nini siyo wa Uchina au Zimbabwe?
Tanzania hata Tembo wavamie kijijini kuharibu na kuuwa Wananchi hatuwezi kuwapiga tembo risasi bila kumjulisha Muzungu, WTF?