USA nao wanataka majina ya facebook, instagram, twitter &Co.!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Baada ya Serikali yetu kumtaka mmiliki wa JF kushirikiana na Serikali kumezuka maneno meengi ya dharau na kejeli dhidi ya Serikali yetu mimi naita dhidi ya Watanzania kwani Serikali inatuwakilisha hasa hasa ktk kwa madiaspora na wengi wao wanaishi USA!

Sasa USA wameamua katika hali inayoonekana kuwa ni hatua ya kwanza ya total surveillance kwa wasafiri wote ambao kwa sasa hawahitaji viza kuingia USA kuweka wazi akaunti zao zote za social media kama twitter, facebook, instagram n.k.!

Halii hii bila shaka itapelekea pia nchi hizo kuwataka raia wa USA pia kuweka wazi social media accounts zao kabla ya kuingia EU!

Najua hapa JF kwa kuwa kafanya Mzungu, Mwafrika atatoka povu kuteteta na kuhalalisha na kusema hii ni ya Mzungu ni Demokrasia na ya kwetu ni udikteta!

Uncle Sam Wants Travelers to Hand Over Social Media Accounts
 
b6bc44192754b4590830922f3a4dd030.jpg

Baada ya Serikali yetu kumtaka mmiliki wa JF kushirikiana na Serikali kumezuka maneno meengi ya dharau na kejeli dhidi ya Serikali yetu mimi naita dhidi ya Watanzania kwani Serikali inatuwakilisha hasa hasa ktk kwa madiaspora na wengi wao wanaishi USA!

Sasa USA wameamua katika hali inayoonekana kuwa ni hatua ya kwanza ya total surveillance kwa wasafiri wote ambao kwa sasa hawahitaji viza kuingia USA kuweka wazi akaunti zao zote za social media kama twitter, facebook, instagram n.k. bila ya hivyo ni no entry ina the US of Amerikaa!

Halii hii bila shaka itapelekea pia nchi hizo kuwataka raia wa USA pia kuweka wazi social medai accounts zao kabal ya kuingia EU!

Najua hapa JF kwa kuwa kafanya Mzungu, Mwafrika atatoka povu kuteteta na kuhalalisha na kusema hii ni ya Mzungu ni demokrasia na ya kwetu ni udikteta!

Uncle Sam Wants Travelers to Hand Over Social Media Accounts
yaani chief ndiyo unajua haya leo??

dah!
 
image.png

Yaani mkuu wangu Barbarosa unaniangusha sana;mahaba kwa chama chetu yamekufanya ushindwe hata kutulia na kuisoma vyema taarifa hiyo,ndiyo maana umeandika US of Amerikaa!!Sijui hii ulimaanisha nini??

Halafu hawa jamaa kuomba Social media accounts,hwamaanishi uwape mpaka nywira yako.Ni sawa na unapotuma maombi ya kibarua cha buku saba,wakikwambia ktk barua unadike sanduku la Posta,haimaanishi na funguo ya kufungulia sanduku lako uwape.

Au wanaposema andika email yako,haimaanishi uwape na nywira ya barua pepe hiyo.Hata kwa kuandika account yako ya Facebook,lengo si kuwapa wao faragha yako ya Fb.Wanachotaka wao ni kufuatilia post na michango yako ya nyuma ya Fb kwa kuangalia maandishi unayoyapost,kwani wenzetu walioendelea,maandishi yako tu yanaweza kuelezea kilichomo kichwani mwako.

Yaani wao mtu akindika tu,wanaweza kujua mtu huyu nia yake nini?Kwa hiyo hata ukifanya ugaidi wanaweza pitia posts zako na wakajua kuwa nia hiyo ulikuwa nayo muda mrefu.Kwa mfano;yale maandishi ya yule Deogratius Kisandu ,ingekuwa huko nje,madaktari wangeshampa kitanda muda mrefu.

Soma vizuri sehemu ya maelezo la Tangazo hilo:
Even though the request for social media information is optional, the program has attracted intense criticism from the tech industry and civil liberties groups. The critics point out that social media profiles can reveal deeply personal information—sexual orientation or political viewpoints, for instance—and that the collection program could lead other countries to impose similar requirements. As a result, Americans traveling abroad could have to hand over their Facebook profile to enter a country.
Na hapa,angalia aina na muundo wa form unayotakiwa kujaza;
 
Kwahiyo automatically kwa bandiko lako hili umeshatuthibitishia kuwa Wewe ni mmoja wa Watanzania wachache WANAFIKI na wenye ROHO MBAYA ambao mlifurahia na pengine hata kufanya sherehe baada ya kuona Ndugu Maxence Melo kakamatwa na kusekwa lupango na nina uhakika tena kwa bandiko lako hili hili Wewe ni miongoni mwa Watanzania wachache ambao kutoka kwa dhamana kwa Ndugu Maxence Melo kuliwaumiza sana na mlinuna mno.

Halafu umenishangaza kidogo kwahiyo Wewe chochote ambacho kitatokea tu nchini Marekani basi ni halali na lazima kifuatwe na nchi zingine Tanzania ikiwemo? Kwahiyo Wamarekani wakiamua kutembea u.c.h.i. wa Mnyama kabisa na Wewe utapendekeza Watanzania tuwaige? Na mbona hujafanya reference ya nchi zingine na umeamua ku sample tu Marekani?

Mnachonishangaza Watu humu baadhi yenu hamuipendi JF na mlikasirika Co-Founder wake Ndugu Maxence Melo kutoka kwa dhamana lakini bado tu Members wa JF ambayo inaongozwa na huyo huyo mnayemchukia. Kuna Professor mmoja aliwahi kusema kuwa Watanzania tuna ongezeko la Wasomi ambao wanaongeza kwa kasi sana idadi ya Wapumbavu duniani na sasa kupitia tu uzi wako huu naanza kumwelewa huyo Professor japo mwanzoni alipoisema hii kauli niliona kama vile anatudhalilisha.

Mwisho nimalizie tu kwa kukushauri mleta mada kuwa acha kuwa MNAFIKI na KUJIPENDEKEZA wakati dunia yote ya Watu makini sasa inapigania FREEDOM OF EXPRESSION na INTERNET FREEDOM kwa nguvu zote. Nikutakie pia Christmas njema!
 
Kwahiyo automatically kwa bandiko lako hili umeshatuthibitishia kuwa Wewe ni mmoja wa Watanzania wachache WANAFIKI na wenye ROHO MBAYA ambao mlifurahia na pengine hata kufanya sherehe baada ya kuona Ndugu Maxence Melo kakamatwa na kusekwa lupango na nina uhakika tena kwa bandiko lako hili hili Wewe ni miongoni mwa Watanzania wachache ambao kutoka kwa dhamana kwa Ndugu Maxence Melo kuliwaumiza sana na mlinuna mno.

Halafu umenishangaza kidogo kwahiyo Wewe chochote ambacho kitatokea tu nchini Marekani basi ni halali na lazima kifuatwe na nchi zingine Tanzania ikiwemo? Kwahiyo Wamarekani wakiamua kutembea u.c.h.i. wa Mnyama kabisa na Wewe utapendekeza Watanzania tuwaige? Na mbona hujafanya reference ya nchi zingine na umeamua ku sample tu Marekani?

Mnachonishangaza Watu humu baadhi yenu hamuipendi JF na mlikasirika Co-Founder wake Ndugu Maxence Melo kutoka kwa dhamana lakini bado tu Members wa JF ambayo inaongozwa na huyo huyo mnayemchukia. Kuna Professor mmoja aliwahi kusema kuwa Watanzania tuna ongezeko la Wasomi ambao wanaongeza kwa kasi sana idadi ya Wapumbavu duniani na sasa kupitia tu uzi wako huu naanza kumwelewa huyo Mzungu japo mwanzoni alipoisema hii kauli niliona kama vile anatudhalilisha.

sasa wewe si ndie Barbarosa mwenyewe umeligoff ukasain faster na him account. Watu mnavituko
 
View attachment 450051
Yaani mkuu wangu Barbarosa unaniangusha sana;mahaba kwa chama chetu yamekufanya ushindwe hata kutulia na kuisoma vyema taarifa hiyo,ndiyo maana umeandika US of Amerikaa!!Sijui hii ulimaanisha nini??

Halafu hawa jamaa kuomba Social media accounts,hwamaanishi uwape mpaka nywira yako.Ni sawa na unapotuma maombi ya kibarua cha buku saba,wakikwambia ktk barua unadike sanduku la Posta,haimaanishi na funguo ya kufungulia sanduku lako uwape.

Au wanaposema andika email yako,haimaanishi uwape na nywira ya barua pepe hiyo.Hata kwa kuandika account yako ya Facebook,lengo si kuwapa wao faragha yako ya Fb.Wanachotaka wao ni kufuatilia post na michango yako ya nyuma ya Fb kwa kuangalia maandishi unayoyapost,kwani wenzetu walioendelea,maandishi yako tu yanaweza kuelezea kilichomo kichwani mwako.

Yaani wao mtu akindika tu,wanaweza kujua mtu huyu nia yake nini?Kwa hiyo hata ukifanya ugaidi wanaweza pitia posts zako na wakajua kuwa nia hiyo ulikuwa nayo muda mrefu.Kwa mfano;yale maandishi ya yule Deogratius Kisandu ,ingekuwa huko nje,madaktari wangeshampa kitanda muda mrefu.

Soma vizuri sehemu ya maelezo la Tangazo hilo:
Even though the request for social media information is optional, the program has attracted intense criticism from the tech industry and civil liberties groups. The critics point out that social media profiles can reveal deeply personal information—sexual orientation or political viewpoints, for instance—and that the collection program could lead other countries to impose similar requirements. As a result, Americans traveling abroad could have to hand over their Facebook profile to enter a country.
Na hapa,angalia aina na muundo wa form unayotakiwa kujaza;

Huo ni mwanzo tu kumbuka kwamba lengo la kufanya hivi ni kuweza kuwatambua watu, hivyo hapo wameweka optional lkn kuna mambo mengi sana yamejificha nyuma yake, kwa mfano usipojaza kwenye optional wanaaanza kukuhisi kwamba kuna kitu unaficha na kuanza kukufwatilia, kama ingekuwa haina madhara kama ulivyoiweka isingepigiwa kelele, kumbuka anayefanya hivi ni department of Homeland security ambao ndio jamii za akina Tiss wetu ...
 
Kwahiyo automatically kwa bandiko lako hili umeshatuthibitishia kuwa Wewe ni mmoja wa Watanzania wachache WANAFIKI na wenye ROHO MBAYA ambao mlifurahia na pengine hata kufanya sherehe baada ya kuona Ndugu Maxence Melo kakamatwa na kusekwa lupango na nina uhakika tena kwa bandiko lako hili hili Wewe ni miongoni mwa Watanzania wachache ambao kutoka kwa dhamana kwa Ndugu Maxence Melo kuliwaumiza sana na mlinuna mno.

Halafu umenishangaza kidogo kwahiyo Wewe chochote ambacho kitatokea tu nchini Marekani basi ni halali na lazima kifuatwe na nchi zingine Tanzania ikiwemo? Kwahiyo Wamarekani wakiamua kutembea u.c.h.i. wa Mnyama kabisa na Wewe utapendekeza Watanzania tuwaige? Na mbona hujafanya reference ya nchi zingine na umeamua ku sample tu Marekani?

Mnachonishangaza Watu humu baadhi yenu hamuipendi JF na mlikasirika Co-Founder wake Ndugu Maxence Melo kutoka kwa dhamana lakini bado tu Members wa JF ambayo inaongozwa na huyo huyo mnayemchukia. Kuna Professor mmoja aliwahi kusema kuwa Watanzania tuna ongezeko la Wasomi ambao wanaongeza kwa kasi sana idadi ya Wapumbavu duniani na sasa kupitia tu uzi wako huu naanza kumwelewa huyo Mzungu japo mwanzoni alipoisema hii kauli niliona kama vile anatudhalilisha.

Mwisho nimalizie tu kwa kukushauri mleta mada kuwa acha kuwa MNAFIKI na KUJIPENDEKEZA wakati dunia yote ya Watu makini sasa inapigania FREEDOM OF EXPRESSION na INTERNET FREEDOM kwa nguvu zote. Nikutakie pia Christmas njema!

Vipi kuhusu USA, kumbuka Serikali yetu inatukanwa, kukejeliwa na kuitwa ya kidikteta kwa sababu haifanyi USA inavyofanya, huo ndiyo ukweli wa wanaojiita wana demokrasia wa Kiafrika kama haukubaliani nao hilo ni swala lingine lkn hauwezi kuubadilisha, kwamba anachofanya USA kwa Mwafrika ndicho sahihi!
 
Na kukubali tena hadi kukiri hivi ulivyoandika kuwa kila kifanywacho na Mmarekani basi lazima kwa Mwafrika kiwe sahihi ndiyo umenithibitishia kisawasawa yale maneno ya yule Professor kuwa TANZANIA NI NCHI INAYOONGOZA KUWA NA WASOMI WENGI AMBAO KIMSINGI WANAONGEZA TU IDADI YA WAPUMBAVU DUNIANI. Mkuu binafsi nimekuelewa na TUNAKUOMBA TU UTUACHE SISI TUNAOJUA THAMANI YA JF na JUHUDI ZA Ndugu Maxence Melo katika KUTETEA UHURU WA HABARI hasa wa KIMTANDAO TUENDELEE KUMPIGANIA ili HAKI IWEZE KUPATIKANA KUSUDI HATA TUKIFA LEO BASI WATOTO WETU na VIZAZI VYETU VIJE KUFURAHIA MATUNDA YETU na WATUKUMBUKE. Nashukuru Mwenyezi Mungu sana kwakuwa hili SAKATA zima la Maxence Melo na JamiiForums limeweza kutuonyesha nani ni WANAFIKI na nani ni WAPIGANAJI wa kweli na wenye UCHUNGU wa kutafuta HAKI ya Kimsingi na Kidemokrasia.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom