Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Donald Trump!
Kwa nini wanataka kumzuia asigombee Uraisi ndani ya Marekani? Nilifikiri siku zote kwamba demokrasia ni maamuzi ya wengi sasa ni kwa nini Chama cahe republican kinapanga kutompitisha D.Trump ingawaje yeye ndiye mwenye delegates wengi na ndiye anapata kura nyingi mpaka sasa klk wagombea wote? Kwanza Rubio ameshachesha!
Demokrasia ya USA wanayoiongelea kila siku iko wapi? Mna tofauti gani na Nkuruzinza wa Burundi kwa maana wote hamueshimu matakwa ya walio wengi, Wamarekani wanamtaka Donald Trump awe raisi wao na wamelionyesha kwa kumpigia lkn maelite na ma establishment hasa wa Kiyahudi hawamtaki Trump hivyo wamejipanga kumzuia kuwa Raisi ingawaje yeye ndiyo kipenzi za Wamarekani wazalendo!