USA kuishambulia Iran karibuni

Kawmshawambia huko risasi 1 tu ikigusa mchanga wa fukwe ya bahari yake, atajibu kwa kwa maelfu ya makombiora
Marekani hawezi kuingia kwenye vita na Iran kirahisi kwa sababu anajua uwezo wa Iran kivita na ndio maana Iran inajiamini. Kule North Korea aliitisha kwa kupeleka warships na hakufanya lolote, Iran wameshusha drone yake mpaka sasa umesikia response yoyote kutoka US? Marekani labda aunganike na NATO ndio aende vitani ila mwenyewe sijui anakwama wapi
 
Kuna mastori Fulani ya kijiweni kuwa kuna reli inatengenezwa kutoka south Africa Hadi misri,reli hii itakuwa na matawi na kila upande utaunganishiwa hapo,halafu itafika Zama kutatokea vita kubwa mashariki ya Kati,vita hiyo italazimika afrika watoe majeshi Yao yote na watumie reli hiyo kufika hapo misri.
Kila leo sioni uwelekeo wa hili. Sijui lipo au halipo.walionisulia ni Wana dini Sana .
 
Hii ilikuwa Zama zile za Sadamu Hussein wa Irak na haikutokea.
Sasa nahisi hii itatokea au sijui niyafute Tu kichwani kwangu.
 
Huyu ana stress za maisha siyo siri. Kitu kimoja haujui hoja hujibiwa kwa hoja.
JF si mahali pa kutolea stress bali ni sehemu ya kuelimisha!!! wenye stress zao hawamo humu labda mihemko yako tu inakusumbua
 
Mkuu nlikuwa nakuelewa saana..

Kuna ile story yako ya vita ya Uganda uliizungumza sehem ya kwanza na ya pili niliielewa saana,

Kwa mtu ambaye umepitia kwenye vita na una experience ya migogoro nlitegemea utakuja na uchambuzi ambao hauko bias..

Naamin vita na Irani na Marekani sio sawa na ile Israel anavyoenda kupiga ndani ya Syria na kuondoka..

Lakin ww ni mnazi wa Israel unasahau hata Israel yenyewe inafanya siasa.. Taifa teule ni siasa kutupumbaza sisi waswahili..

Hushangai wazungu na waarabu kututawala kikubwa walichotuachia ni Biblia na Quran iliyotafsliwa kwa kila lugha ya Africa lakini sio vitabu vya Physics,Mechanics, na masomo mengine.. Sababu kubwa ni kututawala kifkra..
 
Lete hoja yako kama ina mashiko tukujibu si kusema tu unachukia watu bure!!!!!!
Wewe kwanza ulikuwa na prejudgement uliamini mimi ni Muislam kutokana na hoja zangu kwenye huu uzi. Nilipokujibu mimi sio muislam. Kwanza una udini nimeenda kukusoma unavyochangia miaka nenda rudi. Upo prochristian. Unaongonzwa na Udini. Hivyo basi nimeshakusoma. Nitakupa fact juu ya fact. Again Iran ni moto wa kuotea mbali. US kama US peke yake hawaiwezi Iran. Si unaona walivyowavua nguo kwa kuitungungua Drone ambayo iliaminika haitaonekana kwa recent technology walotumia US.
 
Unaposema wewe ni Mkristo labda mfuasi wa Nabii Tito,Unaposema US peke yake yake haiwezi Iran lete fact zako ni nchi ipi inaweza kupigana na nchi nyingine bila msaada toka nchi nyingine??Lete fact zako tuzione!!!
 
Back
Top Bottom