USA, Japan, German, and China ipi iko mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia?

Science and Technology ni kubwa mno. Lets break it like ( Military, Air Space, Medical, Mining, Manufacturing, Electronic, Electric, Nuclkear, Energy, etc.)

Then angalia who is leading in each component

A country leading in most of the categories is the LEADING COUNTRY.

Nakubaliana na mkuu hapo juu kwamba nchi za Sweeden, England, Australia hazitaki kuwepo kwenye list yetu.
Russia, German, China, Japan, South Korea, USA, Italy, Canada, (I cant rank them but they MUST be in the list)
 
Tufanyeje ili nasi tuyafikie maendeleo ya kisayansi?

Hatuhitaji maendeo ya kisayansi tunachohitaji ni utawala bora na mzingra safi ili hao walioisha gundua na wenye vichwa waje kuwekeza huku. Nchi kama norway , sweeden, denmark ni mfano mzuri.

Na kama tunaitaji maendeleo yetu binasi ya sayansi cha kwanza kinahitajika ni utawala bora na viongozi wenye vision. Mfano unaweza kuona china inaendela but baadhi ya maendeleo yao yamechangiwa na wizi wa teknolojia. Kuna story nilisoma jinsi wachina walivyotumia hela kibao kununua mabaki ya ndege za kivita za marekani zilizoanguka kosovo na sehemu nyingine USA wanapfanya operation.

Mfano sasa mtanzania akianza kutengenezao fuel filter fake za toyota serikali haikawii kumkamata. wakati wajapana pamopja na kuwa wateja wao wakubwa hawataki kufungua kiwangaa hata cha seat cover tanzania. teh teh teh.

Mfano mwingine ni sisi wenyewe tumebebeshwa kasumba ya neno ubora ili tudharau hata bidhaa zetu. Support bidhaa ya nchi yako kadiri itavyopata wateja na kupata faida itazidi kuwa bora. Sababu nyingine ya china kufanikiwa ni hiyo . Uzalendo kwenye bidhaa zao umekuza viwanda vyao. Sasa waulize wabunge wa TZ ni wangapi suti wanzovaa wameshonesha kutoka kwa mafundi wa tanzania. Ni wangapi wanachongesha viatu kutoka kwa wapare teh teh . Lakini kisiasa wanasema tupende bidhaa zetu.

Manedelo ya kisayansi hayawezi kuja bila some fitna za kiteknolojia. TISS wanatatikiwa kuwa na kitengo cha Ujasusi wa kiteknolojia na ujasui wa Uchumi . ilikuwaje wawekezaji wakachagua uganda kujenga iwanda cha kukata dhahabu na sio tanzania. Hapo ndo ujasui w akichumi na kitenlojia unahitajika .Nimewai kuandika makala https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/62245-tanzania-yetu-ina-majasusi-wa-aina-gani.html. Sasa sisi TISS yetu nadhani ni politics tu.

Nawasilisha
 
Yote uliyosema ni sahihi ila hapo nina wasiwasi nako. kama kweli walikanyaga mwezi imewashinda nini kurudi baada ya miaka 50 wakati tekinolojia umeendela sana kuliko miaka ile ya sitini? kumbuka kile kilikuwa ni kipindi cha propaganda za who's got the biggest ...

Inaonekana wewe ni muumini wa ile conspiracy theory I.e. Did we land on the moon?
 
Swali haliwezi kujibiwa mpaka lifafanuliwe zaidi. Iko mbele kivipi?

Maanake naweza kusema kati ya zote ulizotaja Japan iko mbele kwa sababu iko karibu na International date line, mi nikawa sawa, lakini jibu likawa si unalotafuta.
 
Yote uliyosema ni sahihi ila hapo nina wasiwasi nako. kama kweli walikanyaga mwezi imewashinda nini kurudi baada ya miaka 50 wakati tekinolojia umeendela sana kuliko miaka ile ya sitini? kumbuka kile kilikuwa ni kipindi cha propaganda za who's got the biggest ...

Unachekesha sana.Kwani walisema wakienda mara ya kwanza basi wataendelea kwenda huko indefinitely? Hata hiyo, walirudi mara kadhaa tu, na mara ya mwisho ni mwaka 1972. Jumla ya watu ambao wameshakanyaga ardhi ya mwezini ni 12.
 
Back
Top Bottom