USA is not a Greatest nation in the world

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,204
42,063
Watu wengi hasa waafrika wamekuwa wakifiri marekani ndio sehemu salama kuliko zote kwenye nyanja zote za kimaisha ndio maana kila leo kuna watu wanafikiri hili wafanikiwe au wakitaka kufanikiwa katika maisha wanaona sehemu pekee ni U.S.A kuliko nchi nyingine dunianiani, pengine mimi ninge sema Marekani imefanikiwa kwenye majeshi na ulinzi kuliko nyaja nyingine za kijamii.

Pengine hawa wenzetu wanakuwa wajanja kutotaka wengine wajue ukweli kuhusu wao hili kuendelea kuwadanganya watu kisaikolojia. hizi detail zilizo kuwa zina pinga kuwa marekani siyo gretest country in the world zilitafutwa na mmarekani mwenzao ambazo alizichapisha na zikapata upinzani sana kutoka kwa baadhi ya raia wenzake huku wengine waki unga mkono na kusema nchi yao inatumia pesa nyingi kwenye harakati za kijeshi kuliko kwenye maendeleo.

Wengine walizipinga wakisema hata kama ni kweli kuhusu hizi ranks lakini bado nchi yao ni mmoja ya nchi ambazo kila mtu anatamani kuishi kwa hiyo hizo ranks hazi watishi kabisa.

Haya ni mambo yaliyo orodheshwa kama ushahidi kuwa U.S.A is not gretest nation inthe world

je ni kweli hata U.S.A rushwa ni tatizo sugu?
Karibuni wana jamvi.
 
Probably a world superpower, what do you think? If yes, it then should be the greatest.
 
hiyo unafanya hapo umekusanya takwimu ukazishurutisha kutii HYPOTHESIS yako.Kwenye utafiti hiyo ni dhambi ya mauti,tubu.Awali ya yote ungesema una maanisha nini kuzungumzia greatest nation,maana kwa kutokutumia simu ,THE GAMBIA yaweza kuwa greatest!
 
you are a great thinker mkuu!
by the way huwezi pata nchi itakayokuwa ina lead ranks zote kwa analysis ya namna hiyo!
 
kulingana na vigezo ulivyovitoa ingepaswa utoe wastani wa marekani, mathalani kwa vigezo vyako 24 ulivyotumia jumla ni 1489 na wastani wa alama ya marekani ni 62. Sasa ungepaswa kuonesha nchi nyinginge ambazo wastani wa alama zao uko chini ya huo wa marekani kwa vigezo hivyo hivyo 24 ndipo ungeweza kusema kuwa marekani sio greatest kwani yawezekana kwa vigezo hivyo pia bado ni greatest kwa kuwa na alama ndogo ya wastani kwa hivi vigezo.

kwa kutumia vigezo vya teknolojia ya habari na mawasiliano(IT) na teknolojia ya kijeshi hakuna nchi inayoikaribia marekani. Kwenye IT PRC inajitahidi kuwa na satellites nyingi lakini bado marekani ana control sehemu kubwa ya mawasiliano ya dunia itabidi uziunganishe PRC na EU kuweza kuitisha marekani kwenye IT. Kwenye jeshi bado marekani inatumia bajeti kubwa kwa ajili ya jeshi lake na kutunza vituo vyake vya kijeshi vilivyotapakaa dunia nzima.

kwa kutumia vigezo vya maliasili, nadhani DRC(Zaire) ndiyo nchi 'yenye nguvu' dunia nzima katika akiba ya fosil fuels, madini, misitu, maji na ardhi. Nchi zinazoweza kufuatia hapo baada ya DRC(Zaire) labda ni Urusi, Tanzania, Angola na Australia.
 
zuri
your right some how, lakini kumbuka kuwa hizi information ziliorozehwa na mmarekani mwenzao kama umesoma vizuri hapo juu.
Hapo kwenye technology bado sijakubali au kukataa ngoja nikasake datta kwanza ndio ntakuja kusema kitu hapo.
pia kwenye nguvu za kijeshi na kubaliana na wewe wako ahead hasa kwa anga.
Lakini kwa nguvu za jeshi la ardhini bado na doubt hasa ni kiangalia kuanzia afghanistani na iraq ambapo walikuwa na wahisani wengi pamoja na hivyo walitaabika sana na kupoteza wanajeshi ambao haikutegemewa.

Pengine mikwara na kushiriki vita sana kuna weza kuwa sign ya nguvu za kijeshi?
 
Watu wengi hasa waafrika wamekuwa wakifiri marekani ndio sehemu salama kuliko zote kwenye nyanja zote za kimaisha ndio maana kila leo kuna watu wanafikiri hili wafanikiwe au wakitaka kufanikiwa katika maisha wanaona sehemu pekee ni U.S.A kuliko nchi nyingine dunianiani, pengine mimi ninge sema Marekani imefanikiwa kwenye majeshi na ulinzi kuliko nyaja nyingine za kijamii.

Pengine hawa wenzetu wanakuwa wajanja kutotaka wengine wajue ukweli kuhusu wao hili kuendelea kuwadanganya watu kisaikolojia. hizi detail zilizo kuwa zina pinga kuwa marekani siyo gretest country in the world zilitafutwa na mmarekani mwenzao ambazo alizichapisha na zikapata upinzani sana kutoka kwa baadhi ya raia wenzake huku wengine waki unga mkono na kusema nchi yao inatumia pesa nyingi kwenye harakati za kijeshi kuliko kwenye maendeleo.

Wengine walizipinga wakisema hata kama ni kweli kuhusu hizi ranks lakini bado nchi yao ni mmoja ya nchi ambazo kila mtu anatamani kuishi kwa hiyo hizo ranks hazi watishi kabisa.

Haya ni mambo yaliyo orodheshwa kama ushahidi kuwa U.S.A is not gretest nation inthe world

je ni kweli hata U.S.A rushwa ni tatizo sugu?
Karibuni wana jamvi.

Hapa hujaeleweka kabisa,greatest kivip kiuchumi,kijeshi,politic ama sicio service,maana data zako zimetawanyika tawanyika.em fafanua kisha ntakwambia nchi gan ni zaidi na katika nn??
 
Back
Top Bottom