USA: inajivunjia heshima!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

USA: inajivunjia heshima!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasheshe, Jul 12, 2008.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Siku za karibuni imekuwa jambo la kawaida siku hizi wamarekani kupeleka resolution na kutolewa nje... nionavyo mimi hili taifa kubwa linaendelea kujiabisha kwenye jamii ya kimataifa...

  Sasa hili la Zimbabwe... yaani hawakujua kwamba issue ya zimbwabwe suala la ndani ya nchi ambalo UN/AU etc... wameshaazimia kwamba hawataizingilia?

  Angalia hiii---> Zimbabwe hails sanctions failure

  Kadiri siku zinavyoenda... naona mataifa yanaanza kuwa na uwezo wa kusema mfalme yuko uchi....
   
Loading...