USA Africa Business Summit Tanzania tuna muwakilishi?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Nimeona hii kitu ilifanyika huko Washington DC. na kuna mambo nyetinyeti ya yalijadiliwa mezani kwa mustakabali mwema wa Afrika. Vipi Tanzania tulituma mtu wa maana wa kutuwakilisha au tunanyoosha nchi (chadema) kwanza?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nimeona hii kitu inaendelea huko Washington DC. na kuna mambo nyetinyeti ya kujadili mezani kwa mustakabali mwema wa Afrika. Vipi Tanzania tumetuma mtu wa maana wa kutuwakilisha au tunanyoosha nchi (chadema) kwanza?

Post sent using JamiiForums mobile app

Ndiyo, Tundu Lisu na Fisadi Lowasa wako njiani!
 
Ndiyo, Tundu Lisu na Fisadi Lowasa wako njiani!
Kwanini mmerithi tabia ya kikoloni ya kuwagawa na kuwachukia watu flani wa nchi moja kwa misingi ya mitizamo yao kisiasa? Hivi nini itakuwa tofauti kati yenu na waliowanyonga au waliowatesa akina Kinjekitile Ngwale, Chifu Songea & co, Mkwawa nk?

This is very sad and, for sure will never take us where we want to go, unless as a divided nation.
 
Nimeona hii kitu ilifanyika huko Washington DC. na kuna mambo nyetinyeti ya yalijadiliwa mezani kwa mustakabali mwema wa Afrika. Vipi Tanzania tulituma mtu wa maana wa kutuwakilisha au tunanyoosha nchi (chadema) kwanza?

Post sent using JamiiForums mobile app
Wabunge wanaenda wapi?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom