US yaomba "Direct investment kutoka kwa Waarabu"...

Tumain

JF-Expert Member
Jun 28, 2009
3,154
70
US imemtuma mwakilishi wake kwenda katika nchi za kiarabu waende kufanya "direct investment" ili ku-boost economic growth in US. Gulf arab countries wameombwa kuongeza already available of investments of 25bn.
fuatilia hii ripoti hapa Al Jazeera English - Business - US invites Gulf Arab investment

Wana JF msishangae JK kwenda uarabuni for investment hata Obama (US)anaenda, it is very simple suplus economies finance economies with deficit.
 
Yeah but sio kwa style ya JK. JK anaoba msaada at the expense of insatiable resources za Tanzania. In this case is better not.
 
kuna kutalii na kwenda kuomba investments, na kuna kwenda kutembea na kwenda kufanya kazi. Huwezi kusema unaenda kuvutia wawekezaji wakati hakuna ulilofanya nyumbani kuwavutia waje. Kama umeme unakatika, majia yanakatika, wizi, ufisadi, barabara mbovu sidhani kama unaweza kupata wawekezaji unless wawe wazugaji.
 
Kila kiongozi anakuja na huduma zake, ama umeme umeanza katika baada ya awamu ya nne, na barabara zimeharibika kipindi hicho?
 
Du mkuu basi itakauwa kali hiyo. Mimi nikiingia madarakani basi lengo langu litakuwa ni kutoa huduma ya internet tu, na wa awamu ya 21 huduma yake itakuwa kwenye maji ya kunywa.
 
Mkuu nadhani hujanielewa nilichoandika, suala si kuwa safari za Kikwete ndio zinasababisha kukatika kwa Umeme, ama kuwa na miundo mbinu mibovu. Hii ipo hata kwa maRais waliopita. Haihusiani kabisa na safari zake, japo kupunguza safari zisizo za lazima inaokoa fedha yetu walikodi. Hivyo huwezi zingumzia miundo mbinu mibovu na safari zake, labda useme kuwa aliyemtangulia aliitengeneza miundombinu, na alipomaliza muda wake akaiharibu ili afuataye aanze upya.
 
US imemtuma mwakilishi wake kwenda katika nchi za kiarabu waende kufanya "direct investment" ili ku-boost economic growth in US. Gulf arab countries wameombwa kuongeza already available of investments of 25bn.
fuatilia hii ripoti hapa Al Jazeera English - Business - US invites Gulf Arab investment

Wana JF msishangae JK kwenda uarabuni for investment hata Obama (US)anaenda, it is very simple suplus economies finance economies with deficit.

Baniyani Mbaya Kiyatu Chake Dawa.
 
Baada ya 9/11, wwaabu walinyang'anywa pesa nyingi sana, as result matajiri wa kiarabu wakaamisha investment zao China na kwengine, hii pia ilichangia kuporomoka uchumi wa marikani. sasa wanaanza kupiga magoti tena.
 
Mkuu nadhani hujanielewa nilichoandika, suala si kuwa safari za Kikwete ndio zinasababisha kukatika kwa Umeme, ama kuwa na miundo mbinu mibovu. Hii ipo hata kwa maRais waliopita. Haihusiani kabisa na safari zake, japo kupunguza safari zisizo za lazima inaokoa fedha yetu walikodi. Hivyo huwezi zingumzia miundo mbinu mibovu na safari zake, labda useme kuwa aliyemtangulia aliitengeneza miundombinu, na alipomaliza muda wake akaiharibu ili afuataye aanze upya.

Nadhani labda hujamuelewa alichomaanisha.

Sidhani kama alimaanisha kwamba hakuna haja ya mkuu kuwa na safari. La hasha!

Nadhani alimaanisha kwamba safari hizo zingekuwa na tija zaidi kama huku nyumbani kungekuwa kunavutia. Na pengine ingekuwa bora kupafanya huku nyumbani pavutie kwanza.

Wewe waweza sema miundombinu mibovu haiusiani na safari zake. Lakini kwake huyo "muwekezaji" unayemfuata atakuwa anaangalia jinsi miundombinu itakavyomkwaza.

Na kama ulikuwa uadhani (kwa mfano) umeme na maji kutokuwa vya uhakika kunasaidia kuwavutia hao "wawekezaji", basi pengine tatizo ni mtazamo tu.
 
Last edited:
Back
Top Bottom