Midokta Shika mingi hii nchi, mwone na huyu nyumbu
Midokta Shika mingi hii nchi, mwone na huyu nyumbu
Hawakawii kutuingiza chakaChadema wataitisha press kutu-brief. Chama la wana!
Mnavyojua kubumba maneno ati kigogo wa ngazi za juu wakati ni under secretary au hujui vyeo vyao hukoView attachment 1880210
Kigogo wa Serikali ya Marekani aliyeingia nchini na kukutana na Mama Samia, ameonana vile vile na wapinzani.
Under Secretary of State Victoria Nuland wa Marekani, kigogo wa ngazi za juu wizara ya mambo ya nje , ameonana na kuongea na Mnyika wa CHADEMA na Zito wa ACT Wazalendo leo 4/08/2021.
Sijui wameongea nini?
Shibuda joka la mdimu?Yule Mkiti wa vyama vya upinzani aliyepaswa kupitishiwa hoja za upinzani alikuwepo?
Uroho wa madaraka iliyonayo chadema ni rahisi sana kugeuka na kuwa waasi.Mambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.
Tanzania is a sovereign coutry.
ila Chadema hakikufaa kabisaa kuwa chama cha upinzani nchini Tanzania kwa tabia ya mara kwa mara wanayo ionyesha inapo tokea jambo lolote basi wanaenda kuichongea Tanzania kwa mataifa makubwa wakitegemea Viongozi wetu wataogopa!! thubutu!!!! kamwe tusivumilie tabia hii ya kizandiki!!! labda wakafanye siasa zao Burundi lkn sio Tz..
Tunaomba viongozi wetu wasiyumbe kabisa, wawe imara kusimamia sheria za nchi.
Demokrasia sio kuvunja amani.
Huyo ni mtu kakutana na watu. Haya mawazo yako ya "usalama wa nchi" unayajenga ktk msingi gani?Mambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.
Do you really know the meaning of "sovereignty of the country?". The bitter truth for you is that, you are sovereign in some circumstances but you are not completely sovereign...!Tanzania is a sovereign coutry.
Unaonekana hujui lolote. Ni kama mbwa asiye na meno abwekaye. Huna maarifa na ufahamu wa kutosha. Umekariri au umekaririshwa ujinga na unautumia ukidhani ni ukweli..!ila Chadema hakikufaa kabisaa kuwa chama cha upinzani nchini Tanzania kwa tabia ya mara kwa mara wanayo ionyesha inapo tokea jambo lolote basi wanaenda kuichongea Tanzania kwa mataifa makubwa
wakitegemea Viongozi wetu wataogopa!! thubutu!!!!
kamwe tusivumilie tabia hii ya kizandiki!!! labda wakafanye siasa zao Burundi lkn sio Tz..
Hawawezi kuwa imara. Wala hawataacha kuyumba. Lazima wayumbe kisha waanguke moja kwa moja na wapotee kabisa na kuiacha nchi mikononi mwa wananchi wenyewe..Tunaomba viongozi wetu wasiyumbe kabisa, wawe imara kusimamia sheria za nchi.
Wewe ni "mjinga" na huna ufahamu. Unatembea ktk giza nene kupita kiasi la ujinga..Demokrasia sio kuvunja amani.
Tazama ulivyo na ufinyu wa kufikiri.wacha kuchanganya habari, tatizo hapa sio katiba mpya, Rais alikuwa muwazi kabisa na aliweka msimamo wake kama kiongozi wa nchi, kwa maana hiyo hakuna sababu ya kuunganisha tuhuma zinazo mkabili Mbowe na Madai ya katiba.
tuhuma za mbowe zimefikishwa mbele ya mahakama hivyo hatakiwi mtu yeyote kuingilia majukumu ya mahakama.
Hakuna uhusiano wowote kati ya Ugaidi wa Mbowe na madai ya Katiba, ila viongozi wa chadema kwa makusudi wanapotosha uma na dunia kwa masilahi yao, hili halikubaliki.
kama nchi tusikubali upotoshaji na uchafuzi unao fanywa na viongozi na wanaharakati wa chadema.
Kinachonisikitisha ni kwamba HAKUNA POSITIVE THINKERS katika CCM kwa sasa!Hii ni SoMo zuri kwa aibu na unafiki kwa viongozi ,serikali,dini na wazee wa taifa letu kukaa kimya masibu yetu.
Zito ameacha usaliti? halafu Lipumba kumbe nae mpinzani! ! ahahaha nchi hii ina vituko sanaaaaView attachment 1880210
Kigogo wa Serikali ya Marekani aliyeingia nchini na kukutana na Mama Samia, ameonana vile vile na wapinzani.
Under Secretary of State Victoria Nuland wa Marekani, kigogo wa ngazi za juu wizara ya mambo ya nje , ameonana na kuongea na Mnyika wa CHADEMA na Zito wa ACT Wazalendo leo 4/08/2021.
Sijui wameongea nini?
Hawezi onana na mataputapu ya CCMMkuu wewe umejazwa ujinga wa kutofikiri.
Katiba haijabadilishwa, na kutoka vyama vya upinzani kuna akili nzuri tu mbadala.
Ukibaki na akili za kijijnga ndio hapa tulipofika.
Pls note, Under Secretary hakuonana na Katibu Mkuu wa CCM.
Hamieni marekani kama wanawatambua.Mkuu wewe umejazwa ujinga wa kutofikiri.
Katiba haijabadilishwa, na kutoka vyama vya upinzani kuna akili nzuri tu mbadala.
Ukibaki na akili za kijijnga ndio hapa tulipofika.
Pls note, Under Secretary hakuonana na Katibu Mkuu wa CCM.
Ni wewe tu hujaenda.Hamieni marekani kama wanawatambua.
Ogukaya. Bagosha. Ukulyaga bushike duhuNi wewe tu hujaenda.