US Under Secretary of State Victoria Nuland akutana na Mnyika na Zitto

View attachment 1880210
Kigogo wa Serikali ya Marekani aliyeingia nchini na kukutana na Mama Samia, ameonana vile vile na wapinzani.

Under Secretary of State Victoria Nuland wa Marekani, kigogo wa ngazi za juu wizara ya mambo ya nje , ameonana na kuongea na Mnyika wa CHADEMA na Zito wa ACT Wazalendo leo 4/08/2021.

Sijui wameongea nini?
Mnavyojua kubumba maneno ati kigogo wa ngazi za juu wakati ni under secretary au hujui vyeo vyao huko
 
Mambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.
Tanzania is a sovereign coutry.
ila Chadema hakikufaa kabisaa kuwa chama cha upinzani nchini Tanzania kwa tabia ya mara kwa mara wanayo ionyesha inapo tokea jambo lolote basi wanaenda kuichongea Tanzania kwa mataifa makubwa wakitegemea Viongozi wetu wataogopa!! thubutu!!!! kamwe tusivumilie tabia hii ya kizandiki!!! labda wakafanye siasa zao Burundi lkn sio Tz..
Tunaomba viongozi wetu wasiyumbe kabisa, wawe imara kusimamia sheria za nchi.
Demokrasia sio kuvunja amani.
Uroho wa madaraka iliyonayo chadema ni rahisi sana kugeuka na kuwa waasi.
 
Mambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.
Huyo ni mtu kakutana na watu. Haya mawazo yako ya "usalama wa nchi" unayajenga ktk msingi gani?

Hata hivyo, huyu tayari yupo ndani ya nchi sasa. Umefanya nini kumzuia asitibue usalama wako?
Tanzania is a sovereign coutry.
Do you really know the meaning of "sovereignty of the country?". The bitter truth for you is that, you are sovereign in some circumstances but you are not completely sovereign...!
ila Chadema hakikufaa kabisaa kuwa chama cha upinzani nchini Tanzania kwa tabia ya mara kwa mara wanayo ionyesha inapo tokea jambo lolote basi wanaenda kuichongea Tanzania kwa mataifa makubwa
Unaonekana hujui lolote. Ni kama mbwa asiye na meno abwekaye. Huna maarifa na ufahamu wa kutosha. Umekariri au umekaririshwa ujinga na unautumia ukidhani ni ukweli..!
wakitegemea Viongozi wetu wataogopa!! thubutu!!!!

Unavyolalamika tu hapa unaonesha wewe ndiye kiongozi na ni kiongozi mwoga kabisa. By the way hamuiogopi CHADEMA bali mnaogopeshwa na matendo yenu mabaya. Mna hofu isiyo kifani. CHADEMA siyo mchawi wenu...!
kamwe tusivumilie tabia hii ya kizandiki!!! labda wakafanye siasa zao Burundi lkn sio Tz..

Unazidi kudhirisha ujinga wako. Nyie ndiyo mtakwenda na kupotea sooner or later. It just a matter of time
Tunaomba viongozi wetu wasiyumbe kabisa, wawe imara kusimamia sheria za nchi.
Hawawezi kuwa imara. Wala hawataacha kuyumba. Lazima wayumbe kisha waanguke moja kwa moja na wapotee kabisa na kuiacha nchi mikononi mwa wananchi wenyewe..
Demokrasia sio kuvunja amani.
Wewe ni "mjinga" na huna ufahamu. Unatembea ktk giza nene kupita kiasi la ujinga..

AMANI ni tunda la HAKI. Pasipo na HAKI hapana AMANI bila kujali unafikiri au kusema nini...

Tutendeane haki na amani atakuja na kuishi na sisi...!!
 
wacha kuchanganya habari, tatizo hapa sio katiba mpya, Rais alikuwa muwazi kabisa na aliweka msimamo wake kama kiongozi wa nchi, kwa maana hiyo hakuna sababu ya kuunganisha tuhuma zinazo mkabili Mbowe na Madai ya katiba.
tuhuma za mbowe zimefikishwa mbele ya mahakama hivyo hatakiwi mtu yeyote kuingilia majukumu ya mahakama.
Hakuna uhusiano wowote kati ya Ugaidi wa Mbowe na madai ya Katiba, ila viongozi wa chadema kwa makusudi wanapotosha uma na dunia kwa masilahi yao, hili halikubaliki.
kama nchi tusikubali upotoshaji na uchafuzi unao fanywa na viongozi na wanaharakati wa chadema.
Tazama ulivyo na ufinyu wa kufikiri.
Mimi ninaongelea Katiba inayotambua vyama vya kisiasa vyote vya kisiasa, wewe unajichanganya na Mbowe na ugaidi wa kufikirika.
Nasikitika CCM yangu imeingiliwa na very low thinkers wa kudadavua mambo.
 
Hii ni SoMo zuri kwa aibu na unafiki kwa viongozi ,serikali,dini na wazee wa taifa letu kukaa kimya masibu yetu.
Kinachonisikitisha ni kwamba HAKUNA POSITIVE THINKERS katika CCM kwa sasa!
Na mimi ni mwana CCM progresive!
 
Wamarekani ni marafiki zetu Tanzania.....

Kwa utulivu wetu wa nchi ,nina imani wanaridhishwa sana na uwepo wa CHAMA CHA MAPINDUZI kama chama dola cha historia kuntu ya taifa letu......

Wamarekani si wajinga...

Wanafahamu fika kuwa CHADEMA hakikubaliki na watanzania walio wengi.....

Kwa sera za "tug of war" walizonazo CHADEMA wakichagiza na HARAKATI ZA KIKOMUNISTI(kuvaa bereti nyekundu ,magwanda na mibuti) huinua " a waking call" kuwa ni WAHAFIDHINA wenye mrengo wa KUTILIWA SHAKA na dunia tulivu.....

#KaziIendelee
#SiempreCCM
#TaifaKwanzaKablaYaNafsiZetu
 
Katiba ya nchi ni ROHO YA NCHI HUSIKA.....

Hakuna nchi yoyote duniani inaweza kuingilia masuala kuntu ya ndani ya nchi nyingine......

#TanzaniaIsASovereignState
 
View attachment 1880210
Kigogo wa Serikali ya Marekani aliyeingia nchini na kukutana na Mama Samia, ameonana vile vile na wapinzani.

Under Secretary of State Victoria Nuland wa Marekani, kigogo wa ngazi za juu wizara ya mambo ya nje , ameonana na kuongea na Mnyika wa CHADEMA na Zito wa ACT Wazalendo leo 4/08/2021.

Sijui wameongea nini?
Zito ameacha usaliti? halafu Lipumba kumbe nae mpinzani! ! ahahaha nchi hii ina vituko sanaaaa
 
Mkuu wewe umejazwa ujinga wa kutofikiri.
Katiba haijabadilishwa, na kutoka vyama vya upinzani kuna akili nzuri tu mbadala.
Ukibaki na akili za kijijnga ndio hapa tulipofika.
Pls note, Under Secretary hakuonana na Katibu Mkuu wa CCM.
Hawezi onana na mataputapu ya CCM
 
Mkuu wewe umejazwa ujinga wa kutofikiri.
Katiba haijabadilishwa, na kutoka vyama vya upinzani kuna akili nzuri tu mbadala.
Ukibaki na akili za kijijnga ndio hapa tulipofika.
Pls note, Under Secretary hakuonana na Katibu Mkuu wa CCM.
Hamieni marekani kama wanawatambua.
 
Back
Top Bottom