US, UK and France launch airstrikes in Syria

Kuna watu walikuwa wanaulizia ushahidi kama kweli yalitunguliwa ama la. Ushidi wa kitafiti huu hapa. Na habari nyingine za UK sub kushindwa kurusha makombora.
=====
105 hits in Syria? Not likely, says Russia & shows fragments of missiles downed in US-led strikes

Hahahahahahahah....Naona kitengo Cha propaganda Cha Urusi kipo kazini, tatizo jamaa waongo mpaka wanajisahau.

Mara ya kwanza walisema makombora yote yametunguliwa,wakaja wakachange gia Angani wakasema 71,Syria wakasema 13 hata hujui ushike lipi. Kwanza ukiangalia vizuri hizo fragments hakuna ushahidi kwamba zilitunguliwa. Hakuna kitu hapo zaidi ya Fake News. Mwaka jana walisema makombora zaidi ya 30 ya Marekani yalipotea njia leo wanakuja na HiliPoor Russians

Warusi walete ushahidi unaoeleweka sio hayo mabaki ambayo yanaweza kua makombora Yao wenyewe

Sijajua 'upropaganda' unatoka wapi ! Hata hivyo mimi ninachojaribu nikueleza kile kinachosemwa na Russia na hata na US, UK, na France na nchi nyingine kuwa ni kweli na wanaleta na ushahidi wao. Mpaka sasa sijapata ushahidi usiotiliwa shaka wa US na wenzake unaoonyesha makombora 105 yote yalipiga 'targets' zake. Nakuhakikishia ningekuwa nimeupata huo ushahidi ningekuwa nimeuweka hapa muda mrefu. Russia wamejaribu kuleta facts zao. Ebu tusaidie sasa kutonyesha facts za US na wenzake kutumia makombora 105 yakiwemo ya 'Tomhawks' kufanikiwa kupiga targets zake.

Karibu.
 
Mkuu umesikiliza na hiyo video niliyokuwekea hapo juu kwanza?!
Syria walisema wamefanikiwa kutungua 13 baadae Urusi kaja na takwimu za 71,je kazitoa wapi kama sio za kupika?!

Pili, ukiangalia hizo fragments vizuri hamna uhakika kama ni Tomahawk kweli. Pia Mara ya kwanza walisema wamefanikiwa kuyashika makombora mawili ambayo yalishindwa kulipuka,je yako wapi mbona hawakutuwekea tuyaone?!

Mwisho,Kama kweli yalitunguliwa 71 je imekuwaje sehemu zilizolengwa kuharibiwa vibaya vile ?! (Nilishatuma tuma picha za Before&After mwanzo kabisa kule)
 
Angalia zima hapo mkuu!
Screenshot_1-50-768x403.jpg
 
Mkuu umesikiliza na hiyo video niliyokuwekea hapo juu kwanza?!
Nimeisikiliza na kuitaza yote, tena mara tatu. Jamaa anaelezea mkanganyiko huo ulioueleza, na kwa maoni yake anasema hana uhakika kama kweli Syria ilitungua makombora yote hayo na pia anasema hana uhakika kama yote 105 yalifika kwenye target. Na anasisitiza kuwa exact figure ya 71 kuwa intercepted inaweza kupatikana kwa kufanya thorough analysis ambayo inachukua muda wa siku kadhaa. Ndiyo maana mwishoni mwa clip yake anashauri kama kutakuwa na ushahidi juu ya kuintercept kiasi hicho cha makombora siku za usoni angependa naye kuuona. Kumbuka alipost clip hiyo Youtube tarehe 17/04/2018 siku tatu baada ya mashambulizi huko Syria. Sasa maelezo niliyoweka hapa JF saa 7 na dakika 44 usiku yameambatanishwa na maelezo ya kina ya uchambuzi wa kilichotokea Syria na wamekusanya ushahidi kama unavyooneka kwenye clip niliyoweka. Maelezo hayo alitolewa jana tarehe 25/04/2018 na jamaa wa Russia Military. Nadhani ni ushahidi huu ambao huyo mtengeneza clip uliyoweka aliutaka. Sasa tusaidie kitu kimoja, ebu msogezee huo ushahidi huyo jamaa tuone atakuja na analysis gani.

yako wapi mbona hawakutuwekea tuyaone?!
Yawezekana uliingalia clip niliyokuwekea uliingalia haraka haraka sasa nakuwekea screenshot inayoonyesha 'tomahawk' ambayo haijalipuka.
Screenshot_1-50-1024x537.jpg

Tomahawk ambayo haijalipuka ni ile pale kwenye kona ya juu kushoto mwa screenshot hii (facts wala siyo hisia).
Pili, ukiangalia hizo fragments vizuri hamna uhakika kama ni Tomahawk kweli.

Sasa kwa kuwa kunauwezekano wewe ni mtaalamu wa masuala ya 'tomahawk' (ndiyo yawezekana wewe ni injinia wa 'Lockheed' watenganezaji wa makombora hayo), ninaomba utuwekee picha inayoonyesha 'tomahawk' halisi ambayo hajalipuka pia tuonyeshe na vipande vipande vyake ikiwa a) imelipuka na b) ikiwa imetunguliwa. Hii itatusaidia kujua kama Russia inatudanganya.

Mwisho,Kama kweli yalitunguliwa 71 je imekuwaje sehemu zilizolengwa kuharibiwa vibaya vile ?! (Nilishatuma tuma picha za Before&After mwanzo kule)
Kama nilivyosema hapo juu kuwa inawezeko wewe ni mtaalamu wa mabo haya. Ninaomba utufanyie hisani nyingine utuletee pia ulinganisho wa ushahidi unaoonyesha pasipokutilia shaka, uharibifu unaofanywa na makombora 105 na ule unaofanywa na makombora 34 (105-71). Hii pia itasaidia uelewa wetu wa kuchambua uharibifu unaofanywa na makombora haya na hatutadanganyika tena.
 
Nimeisikiliza na kuitaza yote, tena mara tatu. Jamaa anaelezea mkanganyiko huo ulioueleza, na kwa maoni yake anasema hana uhakika kama kweli Syria ilitungua makombora yote hayo na pia anasema hana uhakika kama yote 105 yalifika kwenye target. Na anasisitiza kuwa exact figure ya 71 kuwa intercepted inaweza kupatikana kwa kufanya thorough analysis ambayo inachukua muda wa siku kadhaa. Ndiyo maana mwishoni mwa clip yake anashauri kama kutakuwa na ushahidi juu ya kuintercept kiasi hicho cha makombora siku za usoni angependa naye kuuona. Kumbuka alipost clip hiyo Youtube tarehe 17/04/2018 siku tatu baada ya mashambulizi huko Syria. Sasa maelezo niliyoweka hapa JF saa 7 na dakika 44 usiku yameambatanishwa na maelezo ya kina ya uchambuzi wa kilichotokea Syria na wamekusanya ushahidi kama unavyooneka kwenye clip niliyoweka. Maelezo hayo alitolewa jana tarehe 25/04/2018 na jamaa wa Russia Military. Nadhani ni ushahidi huu ambao huyo mtengeneza clip uliyoweka aliutaka. Sasa tusaidie kitu kimoja, ebu msogezee huo ushahidi huyo jamaa tuone atakuja na analysis gani.

Yawezekana uliingalia clip niliyokuwekea uliingalia haraka haraka sasa nakuwekea screenshot inayoonyesha 'tomahawk' ambayo haijalipuka.
Screenshot_1-50-1024x537.jpg

Tomahawk ambayo haijalipuka ni ile pale kwenye kona ya juu kushoto mwa screenshot hii (facts wala siyo hisia).

Sasa kwa kuwa kunauwezekano wewe ni mtaalamu wa masuala ya 'tomahawk' (ndiyo yawezekana wewe ni injinia wa 'Lockheed' watenganezaji wa makombora hayo), ninaomba utuwekee picha inayoonyesha 'tomahawk' halisi ambayo hajalipuka pia tuonyeshe na vipande vipande vyake ikiwa a) imelipuka na b) ikiwa imetunguliwa. Hii itatusaidia kujua kama Russia inatudanganya.

Kama nilivyosema hapo juu kuwa inawezeko wewe ni mtaalamu wa mabo haya. Ninaomba utufanyie hisani nyingine utuletee pia ulinganisho wa ushahidi unaoonyesha pasipokutilia shaka, uharibifu unaofanywa na makombora 105 na ule unaofanywa na makombora 34 (105-71). Hii pia itasaidia uelewa wetu wa kuchambua uharibifu unaofanywa na makombora haya na hatutadanganyika tena.
Warusi tushawazoea kwa Propaganda na hii sio Mara ya kwanza ndo maana sishangai maana hata mwaka jana walisema ni makombora 29 tu ya Marekani yalifanikiwa kufikia target zake huku mengine wakisema yalianguka njiani lakini mpaka leo wameshindwa kutuletea hata ushahidi wa picha kutuonyesha hayo makombora yaliyoanguka huko vijijini.

Leo wanakuja na story za kwamba 71 missiles were shot down bila ushahidi wowote. Tukumbuke baada ya Shambulio la US,UK na France air defense za Syria zilirusha makombora Ovyo baada ya kuchezewa mifumo yake na Marekani na Israel,he tutaamije Kama ni kweli madai Yao ya kutungua hayo makombora ni sahihi Kama air defense zao wenyewe zinajirushia makombora Ovyo (Tena walitangaza kabisa kwamba wametungua makombora 9 kumbe hakukua na kitu). Kipi kitufanye tuwaamini sasa?!

Katika hizo picha walizotoa hakuna hata moja inayoonyesha kombora la Tomahawk,si ajabu inaweza kua ni makombora Yao wenyewe.

Hapo nimekuwekea picha za Tomahawk na makombora ya Syria anayoyatumia (S-200 na BUK).
images%20(28).jpeg
images%20(29).jpeg
images%20(30).jpeg
 
Warusi tushawazoea kwa Propaganda na hii sio Mara ya kwanza ndo maana sishangai maana hata mwaka jana walisema ni makombora 29 tu ya Marekani yalifanikiwa kufikia target zake huku mengine wakisema yalianguka njiani lakini mpaka leo wameshindwa kutuletea hata ushahidi wa picha kutuonyesha hayo makombora yaliyoanguka huko vijijini.
Nadhani haujazitendea haki hoja zangu ambazo nimejitahidi kuhoji kuhusu ushahidi usiotiliwa kwa baadhi mambo ambayo uliyagusia. Naona mchezo wa wakutumia facts hauna nafsi kwako, hapa nadhani tupeane kwa heri kwenye hoja hii,Mkuu. Tuendelee tu kupeana 'updates'.
 
Hahahahahahhaha

Umenifurahisha sana mkuu, nazani huyo mjukuu wa Trump Ze Kokuyo anaishia kutapatapa tuu.
 
Hahahahahahahah....Naona kitengo Cha propaganda Cha Urusi kipo kazini, tatizo jamaa waongo mpaka wanajisahau.

Mara ya kwanza walisema makombora yote yametunguliwa,wakaja wakachange gia Angani wakasema 71,Syria wakasema 13 hata hujui ushike lipi. Kwanza ukiangalia vizuri hizo fragments hakuna ushahidi kwamba zilitunguliwa. Hakuna kitu hapo zaidi ya Fake News. Mwaka jana walisema makombora zaidi ya 30 ya Marekani yalipotea njia leo wanakuja na HiliPoor Russians

Warusi walete ushahidi unaoeleweka sio hayo mabaki ambayo yanaweza kua makombora Yao wenyewe

Eti za kwao wenyewe!
 
Nadhani haujazitendea haki hoja zangu ambazo nimejitahidi kuhoji kuhusu ushahidi usiotiliwa kwa baadhi mambo ambayo uliyagusia. Naona mchezo wa wakutumia facts hauna nafsi kwako, hapa nadhani tupeane kwa heri kwenye hoja hii,Mkuu. Tuendelee tu kupeana 'updates'.
Kiuhalisia hajakutendea haki kwa majibu aliyotoa na mbaya zaidi kwa picha alizozitoa google kutumia kama ushahidi. Anyway kuna wakati ichukulike kama ushabiki wa mpira wa miguu tu.
 
Back
Top Bottom