US, UK and France launch airstrikes in Syria

Huu ndio sababu ya kwenda kuvamia Syria
FB_IMG_1524124420673.jpg
 
Syria hawakutumia silaha za kikemikali ni propaganda, ila tufanye ndio wametumia km wao wanavyotaka, sasa swali fikirishi, vipi hao waasi wangetumia chemical weapons kushambulia maeneo yanayoshikiliwa na serikali?
Containers with chlorine from Germany, smoke bombs from UK's Salisbury found in E. Ghouta – Moscow
===
Maria (Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Russia) ameweka wazi kila uovu wa UK wa kudhamini magaidi na kuua wataalamu wa nchi za nje. Ameelaza jinsi wale ambao waliwahi kufanya kazi ama kushirikiana na maabala ya kijeshi ya UK karibu na Salibary walivyouawa kwa matukio ya kutilia shaka kwenye aridhi ya UK. Pia ameeleza jinsi UK ilivyoua wapelelezi wa mauaji ya jasusi 'Shasha' huko huko UK
 
Mkuu ukiandika wameshusha kombola usisahau kusema kati ya 30, 30-13=17,so 17 zimepenya.No air defense system is 100% proof.
Mm sishabikii chochote hapo, wanaumia ni watu wasio na hatia. Iwe zimepita ama hazijapita. Tafakari ingekuwa kwako ingekuwaje, je ungekuwa muda huu upo pamoja na familia yako ama ndo haujui wako wapi mana kumbuka hata miundombinu ya mawasiliano yote inaharibiwa hivyo hakuna wasiliano ambayo utasema nitampigia simu kujua yuko wapi? Watanzania naona kama tumeanza kulewa amani vile na hatujui tunaelekea wapi? Kushabikia hayo mambo ni upungufu wa akili. Tafakari tu hapo jirani congo watu hawalali kwa amani wala hawatembei kwa amani, jana mchana bodaboda wawili wamechinjwa congo. Mshukuruni Mungu kwa kila jambo na Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri waifanyayo usiku na mchana. Kuna wakati askari hata Tz usiku hawalali wapo dolia ila wewe umechapa usingizi mnono na mkeo na watoto kwako. Leo hii unataka kushabikia haya, wale ni raia kama ww na wanastahiri maisha kama ww
 
tunaendelea kuwafunulia kilichotokea Douma kabla ya mashambulizi ya US, France na UK.
====

He says he was with his mother when they were urged to rush to the hospital. “We were outside, and they told all of us to go into the hospital. I was immediately taken upstairs, and they started pouring water on me,” the boy recalled.

“The doctors started filming us here [in the hospital], they were pouring water and taking videos,” he added. Hassan’s father later hurried to the hospital. “I was very surprised, and asked what had happened, why my son's eyes were red. I found out that it was water, but it was cold, he could have got sick, he was undressed,” the man recalled.

Russian broadcaster VGTRK was the first to find the boy and his father and break the story. Now, Moscow is planning to show the video about Hassan at the next meeting of the UN Security Council, Russia’s UN envoy Vassily Nebenzia said on Thursday.

Despite the doubts, unconfirmed social media posts and claims by the White Helmets were enough for the American-British-French coalition to strike Syria on April 14 over the alleged attack. The US-led force was so sure of its ‘sources’ that it went on with the strikes even though the Organization for the Prohibition of Chemical Weapons (OPCW) had not even started working on the ground to establish the truth.
RT visits hospital seen in Douma ‘chemical attack’ video, talks to boy from footage (VIDEO)
 
Mi ninavyojua hakuna cha silaha za sumu wala nini,kinachomuuma ni marekani na washirika wake wa Israel na ISIS waliokuwa wanataka kumng'oa Al Assad kuvurumushwa na majeshi ya urusi na kuwa historia huko Syria.Marekani ameona aibu,anataka kuendelaea kupambana,lakini muda si mrefu atadhalilika zaidi,kumtoa Al Assad hawezi atabaki anahangaika tu kama chawa
wee hujui assad ndie silaha ya sumu
 
Photos of the Syria strike appear to show missile interceptors firing blindly, failing to stop missile attack

Before the strike — Russia had threatened to shoot down US missiles heading for Syria and then attack the platforms that launched them. A retired Russian admiral elaborated on that threat, saying Russia would sink the USS Donald Cook with a torpedo if it fired on Syria.
Despite being in the area, the Cook didn't fire a shot — and it possibly served as a distraction while cruise missiles poured in from ships, submarines, and jets in an attack that the Pentagon says succeeded in that each hit.

But Russia and Syria begged to differ, saying missile defenses took out 71 of the 105 missiles fired.
Gen. Joseph Dunford, the chairman of the Joint Chiefs of Staff, confirmed that Russian guns and missiles remained silent during the strike on Friday, according to the Fox News reporter Lucas Tomlinson.
Tomlinson added that Dunford said the only response was the Syrian military's firing surface-to-air missiles after the strike — to no effect.

The US maintains that Syria fired its missiles after the strike, possibly in an attempt to save face.
 
tunaendelea kuwafunulia kilichotokea Douma kabla ya mashambulizi ya US, France na UK.
====

He says he was with his mother when they were urged to rush to the hospital. “We were outside, and they told all of us to go into the hospital. I was immediately taken upstairs, and they started pouring water on me,” the boy recalled.

“The doctors started filming us here [in the hospital], they were pouring water and taking videos,” he added. Hassan’s father later hurried to the hospital. “I was very surprised, and asked what had happened, why my son's eyes were red. I found out that it was water, but it was cold, he could have got sick, he was undressed,” the man recalled.

Russian broadcaster VGTRK was the first to find the boy and his father and break the story. Now, Moscow is planning to show the video about Hassan at the next meeting of the UN Security Council, Russia’s UN envoy Vassily Nebenzia said on Thursday.

Despite the doubts, unconfirmed social media posts and claims by the White Helmets were enough for the American-British-French coalition to strike Syria on April 14 over the alleged attack. The US-led force was so sure of its ‘sources’ that it went on with the strikes even though the Organization for the Prohibition of Chemical Weapons (OPCW) had not even started working on the ground to establish the truth.
RT visits hospital seen in Douma ‘chemical attack’ video, talks to boy from footage (VIDEO)

Tujitegemee.
Hii ni obviouslysly expected kutoka huko.
Nikuulize? kama Assad alitumia chemical the first time kwa nini ashindwe kutumia tena?

2013 aliafiki kuwa nazo, na tena akakubali kuzitoa baada ya Russia kuingilia kati kiasi mpaka Obama akasitisha shambulio, kitu ambacho mpaka leo he's been grilled about it.
Na kilichotokea ni kwamba Assad akaenda kuzitumia tena.
 
Nikuulize? kama Assad alitumia chemical the first time kwa nini ashindwe kutumia tena?
Na kilichotokea ni kwamba Assad akaenda kuzitumia tena
===
Silaha zote za kemikali zilizokuwa zinamilikiwa na jeshi la Syria ziliharibiwa tena chini ya uangalizi wa UN kwa utaalamu wa OPCW. Ni kweli Russia alihusika kama member wa UN kuhakikisha hili linafanikiwa. Ikubukwe pia kuwa RUssia aliharibu kemikali zake zote za sumu tena chini ya Uangalizi wa UN, hata hivyo Marekani haijaharibu silaha zake za sumu kwa kisingizio cha ukosefu wa fedha (super power inakosa fedha!!!), pia inasemekana US na UK waliendelea kufanya utafiti wa silaha za kemikali ya sumu.
Turudi issue ya Syria, ikumbukwe pia Syria ilikuwa na stock ya silaha hizi za serikali katika miji mbali mbali. Wakati zoezi la kuilazimisha Syria kuharibu silahazake hizo, vita ilisha anza kwenye nchi hiyo na serikali ya nchi hiyo ilikuwa tayari imeisha poteza baadhi ya maeneo kwa magaidi wakiwemo Al-Nusra nakadhalika. Baadhi ya maeneo yaliyokuwa yameshikiliwa na magaidi hawa yalikuwa na store ya kemikali hizi. Hivyo OPCW hawakwenda huko mbali na kuambiwa na serikali ya Syria.

Mkuu upo , hapo ?
Ebu leta hoja nyingine. Ha ha haaa (Ila west wananiudhi sana na kiwango hiki kikubwa na upotoshaji na fitina)
 
OKey, sasa kwa nini unapinga hizi strikes?!
If that's the case, and according to you kwamba pengine zilianguka mikononi kwa magaidi, don't you think those strikes somehow crippled and slowed down the process?!
Cos otherwise zitaendelea kutumika in full force.Tell me something about this..

Halafu, hata kama ziko kwa hayo Mataifa mengine, kwa nini iwe Ok zikitumuka huku kwa innocent civilians?!
Yaani una justify, kwa sababu hao wengine wanazo ndo iwe okey zitumike sehemu nyingine tena kwa innocents..
Tukubali tukatae, that's the cowardly attack and we know who's suspect number uno :)
 
Huo mkataba aliweka na nani,huo mkataba anafaidika nao nn hadi auweke uchumi wake rehani,
Kuweka mkataba ndo kusema ana uwezo wa kuhimili kumlinda Syria?,.
Bro unadhani vita rahisi?? Em kama hao wamagharibi ni wnaume kweli waingie kama walivyoingia Iraq utajua ni mkataba gani walionao, wasiishie tu kurusha vikombora vyao, waingie hasa kama Iraq
 
Vita ni gharama,sasa nani atakaye gharamikia hiyo vita?Au ndio Yale mambo ya Nyerere kumrudisha Obote madarakani,Uganda,athari zake mpaka Leo Watz wanaugulia maumivu ya vita hivyo!
Sidhani kama Syria anataka vita ila MAREKANI na wauwaji wenzake ndio wanaotaka vita
 
Photos of the Syria strike appear to show missile interceptors firing blindly, failing to stop missile attack

Before the strike — Russia had threatened to shoot down US missiles heading for Syria and then attack the platforms that launched them. A retired Russian admiral elaborated on that threat, saying Russia would sink the USS Donald Cook with a torpedo if it fired on Syria.
Despite being in the area, the Cook didn't fire a shot — and it possibly served as a distraction while cruise missiles poured in from ships, submarines, and jets in an attack that the Pentagon says succeeded in that each hit.

But Russia and Syria begged to differ, saying missile defenses took out 71 of the 105 missiles fired.
Gen. Joseph Dunford, the chairman of the Joint Chiefs of Staff, confirmed that Russian guns and missiles remained silent during the strike on Friday, according to the Fox News reporter Lucas Tomlinson.
Tomlinson added that Dunford said the only response was the Syrian military's firing surface-to-air missiles after the strike — to no effect.

The US maintains that Syria fired its missiles after the strike, possibly in an attempt to save face.
Hahaha!!!
Ndo maana tangu mwanzo kabisa sikuamini zile porojo ya interceptions sababu kama ingekua ni kweli how come the targetted sites were reduced to ashes...The truth is that Russia and it's allies are trying to give hope of protection to the Syrian people
 
===
Silaha zote za kemikali zilizokuwa zinamilikiwa na jeshi la Syria ziliharibiwa tena chini ya uangalizi wa UN kwa utaalamu wa OPCW. Ni kweli Russia alihusika kama member wa UN kuhakikisha hili linafanikiwa. Ikubukwe pia kuwa RUssia aliharibu kemikali zake zote za sumu tena chini ya Uangalizi wa UN, hata hivyo Marekani haijaharibu silaha zake za sumu kwa kisingizio cha ukosefu wa fedha (super power inakosa fedha!!!), pia inasemekana US na UK waliendelea kufanya utafiti wa silaha za kemikali ya sumu.
Turudi issue ya Syria, ikumbukwe pia Syria ilikuwa na stock ya silaha hizi za serikali katika miji mbali mbali. Wakati zoezi la kuilazimisha Syria kuharibu silahazake hizo, vita ilisha anza kwenye nchi hiyo na serikali ya nchi hiyo ilikuwa tayari imeisha poteza baadhi ya maeneo kwa magaidi wakiwemo Al-Nusra nakadhalika. Baadhi ya maeneo yaliyokuwa yameshikiliwa na magaidi hawa yalikuwa na store ya kemikali hizi. Hivyo OPCW hawakwenda huko mbali na kuambiwa na serikali ya Syria.

Mkuu upo , hapo ?
Ebu leta hoja nyingine. Ha ha haaa (Ila west wananiudhi sana na kiwango hiki kikubwa na upotoshaji na fitina)
Sasa Mkuu una uhakika gani 100% kwamba silaha zote za kemikali ziliharibiwa?!
OKey, sasa kwa nini unapinga hizi strikes?!
If that's the case, and according to you kwamba pengine zilianguka mikononi kwa magaidi, don't you think those strikes somehow crippled and slowed down the process?!
Cos otherwise zitaendelea kutumika in full force.Tell me something about this..

Halafu, hata kama ziko kwa hayo Mataifa mengine, kwa nini iwe Ok zikitumuka huku kwa innocent civilians?!
Yaani una justify, kwa sababu hao wengine wanazo ndo iwe okey zitumike sehemu nyingine tena kwa innocents..
Tukubali tukatae, that's the cowardly attack and we know who's suspect number uno :)
Uko sawa kabisa 100%,Kama Mtu(Assad) aliweza kuzitumia Mara ya kwanza anashindwa nini tena kuzitumia kipindi hiki!!!!
 
tunaendelea kuwafunulia kilichotokea Douma kabla ya mashambulizi ya US, France na UK.
====

He says he was with his mother when they were urged to rush to the hospital. “We were outside, and they told all of us to go into the hospital. I was immediately taken upstairs, and they started pouring water on me,” the boy recalled.

“The doctors started filming us here [in the hospital], they were pouring water and taking videos,” he added. Hassan’s father later hurried to the hospital. “I was very surprised, and asked what had happened, why my son's eyes were red. I found out that it was water, but it was cold, he could have got sick, he was undressed,” the man recalled.

Russian broadcaster VGTRK was the first to find the boy and his father and break the story. Now, Moscow is planning to show the video about Hassan at the next meeting of the UN Security Council, Russia’s UN envoy Vassily Nebenzia said on Thursday.

Despite the doubts, unconfirmed social media posts and claims by the White Helmets were enough for the American-British-French coalition to strike Syria on April 14 over the alleged attack. The US-led force was so sure of its ‘sources’ that it went on with the strikes even though the Organization for the Prohibition of Chemical Weapons (OPCW) had not even started working on the ground to establish the truth.
RT visits hospital seen in Douma ‘chemical attack’ video, talks to boy from footage (VIDEO)
Propaganda!!!!

Kama hao RT walimrubuni huyo mtoto ili aseme Uongo tutajuaje!!!?
 
Back
Top Bottom