KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Baada ya karibu 9 years kuwa ndani ya ardhi ya Iraq,hatimae muda huu obama anautangazia ulimwengu kwamba mwanajeshi wa mwisho wa marekani atakuwa ameondoka iraq kufikia mwishoni mwa december 2011!
Naona kitendo cha Iraq kuonekana kushikamana na Iran kimewaudhi wamarekani ile mbaya hasa baada ya kiongozi wa Iraq kutembelea Iran siku chache zilizopita.
Lakini wamarekani bado wanamkumbusha Obama...Jobs...! Jobs..! Jobs...!OBama kamaliza kakataa maswali katimka zake,kawaachia wasidizi wake.