Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
sawa but hapa russia alitumia tu ubabe ni tabia yake tu amefanya hvyio hata georgia sasa cjui utasema tukasome historia ya abkhazia mkuu! au kule tranistria ambako kila cku moldova wanalalamika urusi iondoe majeshi yaom shida ni kuwa viongozi wa zamani wa urusi cjui walikuwa na shida gani kugawa ama kuuza maeneo kama vile walivyouza alaska kwa marekani sasa miakahii wanakuja kugundua kuwa yale maeneo yalikuwa ni strategic wanataka kurekebisha makosa in expense of others, mpango wa kuichukua crimea warusi walikuwa nao muda tu sema walikuwa wanatafuta sababu ya kujustify hilo na 2014 wakaipata, mataifa makubwa ubabe ndo tabia yao si urusi china wala marekani
Tatizo la Mataifa ya Ulaya Mashariki yanakuwa instigated na Western Countries for Geopolitics reasons ni hilo tu Mkuu, nchi zote za Ulaya Mashariki zinakosa shukrani - wanasahau Urusi ilivyo jitoa muanga kuwakomboa dhidi ya majeshi ya Hitler,Warusi walipoteza Raia na wanajeshi zaidi ya millioni ishirini kukomboa robo tatu za Bara la Ulaya au hilo hamulijui!!
Leo hii baadhi ya watu wanakuja na adithi za kutunga tu bila ya kujua u ndani wa vita baridi unao chochewa na West kujaribu ku-demonise Russia, wanajifanya kusahau ukatiri/uuaji unaofanywa na ndege za NATO Mashariki ya kati na Afrika Kasikazini, Syria,Afghanistan, Former Yugoslavia,Vietnam, Laos na Cambodia- ni watu mamillioni ngapi wasio na hatia wanapoteza maisha bila sababu za msingi kutokana na skewed adventure za Marekani in far East, Middle East na North Africa ? Tukilinganisha takwimu za ukatiri unaofanywana na Jeshi la Urusi over the years utagunduwa kuna tofauti kubwa kama Mbingu na Dunia.