US Special Envoy to Ukraine Kurt Volker :Ukrainians cannot take back the territories already taken by Russia

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
9,160
2,000
sawa but hapa russia alitumia tu ubabe ni tabia yake tu amefanya hvyio hata georgia sasa cjui utasema tukasome historia ya abkhazia mkuu! au kule tranistria ambako kila cku moldova wanalalamika urusi iondoe majeshi yaom shida ni kuwa viongozi wa zamani wa urusi cjui walikuwa na shida gani kugawa ama kuuza maeneo kama vile walivyouza alaska kwa marekani sasa miakahii wanakuja kugundua kuwa yale maeneo yalikuwa ni strategic wanataka kurekebisha makosa in expense of others, mpango wa kuichukua crimea warusi walikuwa nao muda tu sema walikuwa wanatafuta sababu ya kujustify hilo na 2014 wakaipata, mataifa makubwa ubabe ndo tabia yao si urusi china wala marekani

Tatizo la Mataifa ya Ulaya Mashariki yanakuwa instigated na Western Countries for Geopolitics reasons ni hilo tu Mkuu, nchi zote za Ulaya Mashariki zinakosa shukrani - wanasahau Urusi ilivyo jitoa muanga kuwakomboa dhidi ya majeshi ya Hitler,Warusi walipoteza Raia na wanajeshi zaidi ya millioni ishirini kukomboa robo tatu za Bara la Ulaya au hilo hamulijui!!

Leo hii baadhi ya watu wanakuja na adithi za kutunga tu bila ya kujua u ndani wa vita baridi unao chochewa na West kujaribu ku-demonise Russia, wanajifanya kusahau ukatiri/uuaji unaofanywa na ndege za NATO Mashariki ya kati na Afrika Kasikazini, Syria,Afghanistan, Former Yugoslavia,Vietnam, Laos na Cambodia- ni watu mamillioni ngapi wasio na hatia wanapoteza maisha bila sababu za msingi kutokana na skewed adventure za Marekani in far East, Middle East na North Africa ? Tukilinganisha takwimu za ukatiri unaofanywana na Jeshi la Urusi over the years utagunduwa kuna tofauti kubwa kama Mbingu na Dunia.
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
14,027
2,000
Tatizo la Mataifa ya Ulaya Mashariki ya nakupa instigated na Western Countries for Geopolitics reasons ni hilo tu Mkuu, nchi zote za Ulaya Mashariki zinakosa shukrani - wanasahau Urusi ilivyo jitoa muanga kuwakomboa dhidi ya majeshi ya Hitler walipoteza zaidi ya Raia na wanajeshi zaidi ya millioni ishirini kukomboa robo tatu za Bara la Ulaya, leo hii baadhi ya watu wanakuja na adithi za kutunga tu bila ya kujua u ndani wa vita baridi unao chochewa na West kujaribu ku-demonise Russia wanajifanya kusahau ukatiri/uuaji unaofanywana ndege za NATO Mashariki ya kati na Afrika Kasikazini, Syria,Afghanistan, Former Yugoslavia,Vietnam, Laos - ni watu mamillioni ngapi wasio na hatia wanapoteza maisha bila sababu za msingi? Tupe takwimu za ukatiri unaofanywana na Jeshi la Urusi over the years.
Kaka kwani kulikuwa na makubaliano kwamba lazima wakikombolewa wajiunge nao? Kujiunga ni hiari
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
9,160
2,000
Kaka kwani kulikuwa na makubaliano kwamba lazima wakikombolewa wajiunge nao? Kujiunga ni hiari

Mkuu mbona umetembelea Mataifa mengi ya Continental Europe na far East , je, katika pita pita zako umewahi kuzungumza na watu wa makamo kidogo ukawasikia wana maoni gani kuhusu Red Army na WW2. Sijawahi kusoma popote au kuabiwa na wakazi wa huko kwamba Urusi ililazimisha Mataifa ya Ulaya Mashariki kuungana na Urusi - sijawahi, na mimi nilipata bahati ya kukutana/soma na watu wengi kutoka Mataifa hayo tajwa.
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,606
2,000
Na subscribe tu ili niweze kufuatilia wataalamu wa eneo husika na historia ya dunia wanavyo tiririka na madini ya maana.
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
14,027
2,000
Mkuu mbona umetembelea Mataifa mengi ya Continental Europe na far East , je, katika pita pita zako umewahi kuzungumza na watu wa makamo kidogo ukawasikia wana maoni gani kuhusu Red Army na WW2. Sijawahi kusoma popote au kuabiwa na wakazi wa huko kwamba Urusi ililazimisha Mataifa ya Ulaya Mashariki kuungana na Urusi - sijawahi, na mimi nilipata bahati ya kukutana/soma na watu wengi kutoka Mataifa hayo tajwa.
Ntafanya assignment mkuu alafu nikujuze ,lakin Mimi mataifa niliyoweza ku interact na watu wake kuna Slovakia, nimekaa nao sana hata Macedonia, wana mtazamo tofauti tofauti, kuna wanaokubali western legacy and slogans, kuna wanaokubali ujamaa wa kirusi uliofeli, kuna wanaosema kwamba bora wawe ndani ya Russia kuliko kuwa walivyo maskini, japo wakubwa au viongozi wanaona wakijoin Russia watakosa recognition,

Kuna nchi ambazo pamoja na kwamba zilikuwa USSR Lakin now ziko vema sana
Estonia wamesaidiwa sana na USA na NATO hivo kuwaambia arudi RUSSIA anaona unamkwamisha tena,

Ukraine nayo kwa kulinganisha na nchi nyingine zilizokuwa USSR inaonekana kupumua kidogo ,
Japo bado kuna baadhi ya maeneo ya eastern yanayopakana na Urusii yana tabu sana, kuna sintifahamu nyingi zinaendelea, na uchochezi huu uletwa na Russia kuvuruga nchi hizo ionekana kuwa nje ya USSR hazikuweza
 
VietCong

Senior Member
May 9, 2018
133
250
mhhhh, ukienda ukapokonya province ya xijiang la china wala wakazi wake watafurah tu coz weng wao hawapend serikali yao kabsaa au Catalonia ya spain nao watafurahi maana wanataka kuwa huru au kosovo kuondoka kwe utawala wa serbia wakosovo wamefurah kutokua chini ya serbia lakin hio yote haimaanishi ni halali bro
Huko kote ulikotaja wahusika wanataka kujitawala hawataki kua chini ya utawala waliomo wala kua chini ya utawala wa kigeni.. Crimea ni kesi tofauti kwanza historically waliwahi kua sehem ya Russia(mama) ni warusi kwa asili, tamaduni, lugha nk na miaka yote raia wa Crimea wamejitambulisha zaidi kama warusi na sio waukraine.. Putin alifanya kitu ambacho wenyeji wa crimea walikitamani kwa muda mrefu.. Ndo maana hawakuwahi kua uncomfortable na tukio zima..
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
14,027
2,000
Bukyanagandi sikuchelewa kuanza tafiti hii,

Wengi wanaosaport kuhamia RUSSIA ni wale waliokuwa eastern maskini anaona wakijiunga moja kwa moja na Russia watapata ahueni ya maisha,

Mfano kuna majimbo kama Kiev, dnipropetrovisk, brispol, baglovshchensk, pridenestorie, na Odessa haya hawapendi kusikia habari za urusi, lakin wengine kama donestk na mashariki wanatamani kujoin Russia

Mmoja amenambia

If he said it in any context it is wrong.To give away or submit to the current status quo is to give in and submit. That is not acceptable. Ukraine will reclaim the stolen territories from the invading scumbags and criminals from Russia.Either by their blood or by their system being dragged into squaller and total deprevation by their equally cretenous leader Putin.This is not the time for accepting any status quo but accepting that the lands currently being raped by Russia will return to Ykraine.Period.
 
nankumene

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
6,326

anyway i know hatuwez kukubaliana hapa
 
Splendid indeed, be blessed - lakini Mkuu jaribu tena kupitia comments za jamaa huyo anaye jifanya ni Raia wa Ukraine - terms nyingi za kingereza alizo tumia kulahumu Putin na Urusi are not Queen's English ni kingereza cha Kimarekani, which means aliye file report hiyo ni Mmerikani au Mu-Ukraine aliye zaliwa na kukulia huko Marekani i.e raia wa huko - alternatively he/she's purely Anglo Saxon breed planted by intel kwa lengo la ku-demonise Putin, chuki za watu hawa kuhusu Putin ni kubwa mno-wanamuona anawawekea kauzibe kubakia as sole Super Power na kuendesha Dunia puta kwa ku-dictate terms za Mataifa yote kuyafuata in other Words ku-reinforce MATRA yao ya NEW WORLD ORDER.

Mkuu tukirudi suala la Ukraine, sina shaka unajua vizuri jinsi US especially NGO ya Billionea SOROS na Marehemu/Seneta MacCain alivyo husika na mapinduzi nchini Ukraine wakishirikiana na CIA - vurugu zote zilikuwa financed na SOROS pamoja na CIA Dunia yote inajua ujweli huo, si hilo tu CIA walikwenda mbali zaidi wakapenyeza ndani ya Ukraine special forces za ma
snipers kutoka USA for special operation ya kuwalenga raia wanao tembea barabarani na waandamanaji ili ku-create impression kwamba Serikali/Polisi wa Ukraine wanawaua Raia wake, kumbe wauaji wapo kwenye majengo mrefu ya mjini Kiev wanatumia telescopic sighted high velocity rifles kuwatungua watu wasiona hatia - tactics hizo ndiyo zimekuwa emulated juzi juzi na Jeshi la Israel kwa kuua na kujeruhi zaidi ya Raia elfu moja+ wa Kipalestina.

Mkuu talk to any level headed Ukrainian utasikia atakwambia nini kuhusu uhusiano wa kindugu/culture/tamaduni baina ya Wa-Ukraine na Warusi, si rahisi kuwatenganisha watu hawa regardless ya utofauti wao mdogo kwenye lugha, narudia, utofauti wao ni mdogo sana kama lugha ya Kinyambo na Kihaya - watu wangesema kuhusu uadui wa Poland na Urusi hilo linaeleweka lakini sio Ukraine. Tatizo hapa ni wana siasa wanao tumiwa na external forces for Geopolitics gains lakini raia wa kawaida hawaungi mkono u wenda wazimu wa Viongozi wao ukweli ndio huo.

Binafsi nina imani kwamba ni suala la muda tu Utawala wa sasa wa Ukraine watakuja juta baada ya Taifa lao kugeuzwa na Kampuni ya Monssanto kuwa ginuepig wa vyakula na mazao ya GMO na mifungo iliyopo kuwa fortified na unproven growth/fattening hormones!!

Mwaka juzi nchi jirangi zilikuwa concern na habari za kuamini kwamba US imeanzisha/fungua mahabara za siri nchini Ukraine za ku-synthesize Biological na Chemical agents za kuwekwa kwenye payload ya mabom na missiles, au kusambazwa na crop dusters kuleta magonjwa ya mine na binadamu - US walikwenda mbali zaidi kwa kujaribu kufanya tafiti za DNA za Raia wenye asili ya Urusi as if Warusi wana tofauti na Waslovak wengine behaving like madakitari wa KINAZI wakati wa Utawala wa Hitler walio kuwa wamepania kuangamiza wanadamu wenye asili wasio itaka/ipenda!! - Watu wenye skewed akili kama za jamaa hawa unawezaje kuwamini kama hawezi vile vile kuigeuzia kibao Afrika wakatumaliza kwa man made viruses nk - si watu wema hata kidogo.
 
Usemalo ni kweli lakin kaka takribani wa Ukraine wengi hawapendi sana kujiunga na urusi, maana ukiangalia wengi huwa tunakutana na tunazungunza Nina marafiki uko Ukraine,

Lakin I will be giving out all information I gather , ambazo zipo concerned na hii ya kama Ukraine wanataka wajiunge Russia au Russia ndo inashinikiza Ukraine baadhi ya majimbo kama crimea wajiunge

Kuhusu utofauti wao wa lugha si mkubwa,

Lugha za kutumia kwao zipo mbili kuna ki Ukraine na kirusi,
Huu ni mfano ni kama unavyoona huko Tanzania, Kila mkoa una kilugha chake lakin lugha inayowaunganisha wote ni Swahili, ndo hivo hivo nchi zote zilizokuwa ndani ya USSR zinatumia ,lugha mbili Kirusi na Kilugha cha nchi husika,
Mfano Ukraine, Estonia, Malta, Kosovo, Macedonia, Albania, na Nyingine nyingi zilizokuwa ndani ya USSR, hata unapotaka huduma yeyote lugha ziko mbili katika makaratasi yao, kuna kilugha let say ki Ukraine /kirusi,

Lakin nadhani wengi wanataka kuwa independent, waoana kama vile kuwa ndani ya Urusi kuna uzibe fulani wanapata,
Cc Copenhagen DN
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
8,575
2,000
Mkuu usijaribu ku-derail mada - hapa tu nazungumzia kuhusu Crimea, haya mambo ya former Soviet Republics unaingiaje hapa, don't you forget kwamba Muungano wa Kisoviet ulikuwa wa hiari na utengano wao ulikuwa wa hiari vile vile, propaganda za west not withstanding.

Labda Nikuulize swali dogo,je,unataka kusema majimbo yote ya USA yaliungana kwa hiari? je, unajua kuna baadhi ya majibo yaliporwa kutoka Mexico,Hawaii, Purto Rico na Canada na kuunganishwa na USA kwa mabavu, bila kusahau Panama na visiwa vya Hawaii, Marshal Island na Diego Garcia - wewe unakazania kuisema vibaya Urusi bila yakuwa na facts at your finger tips.

Mwisho,Je, unajua chanzo cha 1860s Civil War nchini Amerika - kama unafikiri fukuto la uanzishwaji wa vita vya wenyewe kwa wenyewe lilikufa moja kwa moja baada ya Lincoln kushinda vita - think again - litahibuka tena as time goes by - in other words US haiuko United unlike watu wengi wanavyo fikira.
Sio kweli, muungano wa former Soviet States haukuwa wa hiari na waliopinga waliuwawa kule Siberia kwa amri ya dictator Joseph Stalin.
Na kama ungekuwa wa hiari basi usingesambaratika.
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
9,160
2,000
Sio kweli, muungano wa former Soviet States haukuwa wa hiari na waliopinga waliuwawa kule Siberia kwa amri ya dictator Joseph Stalin.
Na kama ungekuwa wa hiari basi usingesambaratika.

Mkuu naona unarudia propaganda zile zile za magharibi za miaka nenda rudi, yaani Viongozi wote wenye itikadi tofauti na za kikapitalism basi wanapachikwa jina la Udikteita!!! Always propagating blessings of Capitalism and evil of Communism!!! Ulaghai huu unatumiwa sana na na MSM ku-demonise Russia, ni nadra sana kusikia wanazumgumza anything +ve kuhusu Urusi!

Hivi hizi adithi za kutunga kuhusu the so called Gulag za huko Saberia kama kweli Joseph Stalin angekuwa mkatiri kiasi hicho Mrusi gani angebaki salama na kukubali kushirikiana na Utawala wa Stalin? Kwa nini hamujiulizi Urusi iliweza je kushinda WW2 katika kipindi cha Uongozi wa Stalin kama kweli Stalin alikuwa ni Monster?

Ukweli wa mambo/historia inadhilisha kwamba katika kipindi cha Stalin Urusi ilipiga hatua kubwa sana kisayansi, kiuchumi,viwanda, uundaji magari;matrekta; zana za vita na infrastructure including some of the biggest Hydroelectric Generating Stations ambazo kwa wakati huo hata USA walikuwa hawana Electric Generating capacity ya kuifikia Urusi.

Swali ni: Kiongozi Dikteita anawezaje ku-motivate wanasayansi, Mainjinia na wabunifu wengine ili waendeleze Taifa lao? Mtu usipokuwa makini utajikuta unameza propaganda za magharibi RAW 4 getting kwamba upotoshaji huo ni moja ya mbinu za kutekeleza vita baridi kati ya USA/West na Urusi, katika hilo West wamefanikiwa sana kuchota akili za baadhi ya watu hapa Duniani wengi wao wana chukulia propaganda za MSM kama ni Gospel TRUTH.

Mwisho nataka kukumbushana tena kwamba Muungano wa Kisoviet ulikuwa wa hiari na utengano wao ulikuwa wa hiari vile vile no external forces/influence were exerted kuwa sambaratisha unlike USA iliyopora baadhi ya aridhi ya Mexico na Canada na kuziunganisha na majibo ya USA kiguvu - someni historia za kweli kuhusu Mataifa haya kabla ya kulahumu/singizia Mataifa yenye itikadi tofauti na West, hicho ndio Kinacho endelea hapa.
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
8,575
2,000
Kuwa na "Profound Passion" for the Russians hauondoi ukweli kuwa Joseph Stalin alikuwa dictator na hilo wala halina ubishi pamoja na maendeleo aliyochagiza.

USSR ilizaliwa baada ya mataifa kadhaa kurubuniwa au kulazimishwa kuingia mkataba wa kuunda hiyo Soviet Union na ndio maana kusambaratika kwake ilikuwa raisi.

Muungano wowote unaokuwa "Policed" hata kama huu wa Tanganyika na Zanzibar hauwezi kuwa na future yoyote na mwisho utasambaratika tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom