US Secretary of Defense: "Hatutaki kuibomoa N Korea, ingawa uwezo tunao"

Unaamini mmarekani yeye uvumbuzi wake uliishia hapohapo kwenye hilo la heroshima!?

weee kati ya nchi ambazo hazilali kwa uvumbuz wa technology ya vifaa vya kijesh usa yupo korea kaskazini anapiga kelele wakat wenzie wametulia tuli nakumbuka hata mu iran ni hatar kiduku anawehuka tu
 
N
kimya cha USA kina maana wakat yeye anahangaika na majaribio wenzie wapo kumsoma namna ya kuyarudisha kwake sasa wameanza kutoa kauli ujue dawa ya kiduku ishapatikana mwanzo USA alikuwa akiongea trump sana
Nakubaliana, kimya cha USA ukicganganya na tamko la sasa hivi ni kwamba mambo yote yameshapangwa ni kusubiri amri tu kutekeleza defensive attack.
Lugha iliyotumiwa na Sec Of Defense ambaye ni retired General , ni "annhillation" of N Korea.
Tunaongea maangamizi hapa.
 
Back
Top Bottom