PlanckScale
JF-Expert Member
- Sep 28, 2008
- 550
- 169
Ili uwe kwenye hizo rank za juu unatakiwa kupambana haswa ...Mfano ni kama Murray atachukua hii Grand Slam atakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuja kumtoa Djokovic mwakani...so ni juhudi tu za Monfils kuonesha uwezo wake mana last match alisumbuana sana na Tipsarevic na kushinda kwa set ya 4.Akifika kwenye Robo au nusu anaweza kusogea kwenye Top ten
Mkuu, kama ulivyoona, Monfils hata fika mbali. unajua at the top level, tennis is probably 80% mental. Huyu ngozi ya tak* mwenzetu hana metal discipline ya kuwa at the top. Unaona alichokuwa akifanya uwanjani on his last game. yaani mimi nilitaka kujiua kwa aibu...
The only way he can improve is game is by finding another coach who can discipline him what to do and get you out of those childplay-nonsense actions on the court.
By the way, if I was his coach, I would also resign. I mean, how could you couch a player who is not serious, especially on a Grand Slam competition!