US Officials asked Toyota: How come Terrorists got a lot of Toyota Land cruiser Who funded them?

Us anapiga NGOMA na kucheza mwenyewe. Bila mkono wa us kuzipinga serikali za kishia za Syria na Iraq hayo mandinga yasingefika huko.
Alifadhili vikundi vyote hivyo kuanzia ISIS, FSA, SDF, Alnusrah, alqaidah kupambana na Assad atoke madarakani. Akafadhili magari , tanks, anti tank missile amoja na hizo gari nk.
Kilichotokea ISIS walizidi kuwa extremist zaidi ya kuwa na msimamo moderate, katika kupambana na Assad na Iraq hivyo akawa adui yao mkuu!
Lakini hata hivyo hufadhiliwa kwa kiasi kikubwa na us washirika wake hasa Israel, Saudia, UK, nk.
Na ndo maana ukiachana na AK 47 silaha nyingi zitumikazo na ISIS ni western made.
"Fikra zangu"
 
Hizi wanazoendesha nyingi sio brand new Toyotas, ni older model. Au nimekosea?
Old ila wanapata hadi buffaloes hawa jamaa.

Wanaweza wakawa wananunua used kwa watu. Na pengine ni magari yaliyoibiwa.
Inavyosemekana kuna serikali zipo hapo, kwa sababu kuna uchunguzi ulifanywa na Al-jazeera kwa kuokota risasi zilizotumika wakakuta zina label ya kiwanda ambacho kiko Bulgaria na walienda mpaka kwenye hicho kiwanda bahati mbaya hawakupata access ya kuingia walitimuliwa.
 
Halafu zile Hilux zilizofungwa mashine nadhani huwa zinanunuliwa O km maana huwa ni latest kwa kuziangalia tu.
 
Vita ya mbwa mwachie fisi. Wamarekani buwaaana juzi kati Japan iliwaambia walishiriki kumtorosha naniliii kutoka Japan sasa wameona waje na la Toyota kwanza. Kuna mmoja ataamua yaishe....
 
Old ila wanapata hadi buffaloes hawa jamaa.

Inavyosemekana kuna serikali zipo hapo, kwa sababu kuna uchunguzi ulifanywa na Al-jazeera kwa kuokota risasi zilizotumika wakakuta zina label ya kiwanda ambacho kiko Bulgaria na walienda mpaka kwenye hicho kiwanda bahati mbaya hawakupata access ya kuingia walitimuliwa.
Buffaloes ni nini, Loftins?
 
Kuna kipindi huwa kinarushwa aljazeera , kinaitwa shadow world , mlango wa yote hayo unayoyaona ni SAUDI ARABIA ,
 
Japo hoja hiyo inaukweli maana magaidi na waasi wote anzia congo, somalia, libya, Iraq, mynemar, Sri lanka, central africa, cameroon, hadi nigeria wote wanatumia toyota
Hata maaskari na marais Africa wanatumia TOYOTA
 
Japo hoja hiyo inaukweli maana magaidi na waasi wote anzia congo, somalia, libya, Iraq, mynemar, Sri lanka, central africa, cameroon, hadi nigeria wote wanatumia toyota

Vipi kuhusu silaha wanazotumia! Wafanye utafiti na huko, Mabomu,mizinga,bunduki nk.
 
Back
Top Bottom