US Missile System Ready Against Iran

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
US Missile System Ready Against Iran

Experts at the US Defence Department affirm that Iran poses a serious threat to the interests of the US and its allies in the Middle East and Eastern Europe.

However, foreign analysts conclude that the deployment of the elements of the US missile defence system in the Gulf under pretence of protection from possible actions of the Iranian authorities looks like an aggressive and a provocative move, especially against a background of a possible pre-emptive attack on Iran.

The US has decided to undertake the mission to strengthen regional security after declaring that Iran poses a major threat to its interests.

To this end

At least, to this end, the Pentagon has deployed eight modernised Patriot missile air defence systems in Bahrain, Qatar, Kuwait and the United Arab Emirates. Moreover, two American warships capable of shooting down Iranian missiles will assume duty in the Gulf.

However, the good intentions could be only a pretext for the Americans to increase their military presence in the region.

Although this is presented to the international community as a wise precautionary measure, it is in the sense of preparation for launching a pre-emptive attack on Iran, says the president of the Academy of Geopolitical Issues.

Iran has its own missile programme which it says is defensive and does not pose a threat to Israel or the US.

What the Americans are doing now is firstly making preparations for launching an attack on Iran and secondly, striving to put the entire Gulf, consequently, Iranian oil fields under their control.

In short, the US is planning to do with Iran what was done with Iraq.

A pending tough response from Teheran to attempts to impose new economic sanctions against Iran by the international community prompts the US to take urgent steps to protect its interests by deploying Patriot air defence systems.

Meanwhile, if the US manages to win the UN Security Council’s support and imposes restrictions on Iran’s oil trade, this will undermine the country’s economy seriously and consequently, the position of the Iranian regime.

To prevent this, President Mahmoud Ahmadinejad and his supporters are prompted to pursue such a foreign policy that receives a favourable response in the country.

Iran has not responded to the Pentagon’s move yet. Undoubtedly, the response will be quite tough. Most likely, this will be the pretext that the US needs to carry out a pre-emptive attack. (Agencies)
 
Baby killer wameshaanza kujiandaa tena kuuwa watoto na wanwake wasio na atia, na huyu shetani wao mkubwa anawatetea. hatar kwelikweli
 
Baby killer wameshaanza kujiandaa tena kuuwa watoto na wanwake wasio na atia, na huyu shetani wao mkubwa anawatetea. hatar kwelikweli
MI sielewi swala moja , kuwa Iran ilivyo tangaza kuwa ina NYUKLIA kuna watu walishabikia, sasa hofu ya nini, dalili ya vita ipo, tena ndani ya ARDHI ya Iran, MOSSAD wapo kazini, CIA wapo kazini ,
unapojitangazia nawe ni mkubwa lazima uwe IMARA kukabiliana na wakubwa wenzako, kwani kumiliki nuclear power ni shida, ila kutishia , wakubwa watakuzamisha, kisiasa , kivita ama vyovyote.
Msiogope ana makombola selective, unapigwa huku unaachiwa viroba vya mahindi.
 
Mkumbuke jamaa yenu Osama aliua Wakenya na watanzania mwaka 1998.
Nia yenu mtapenda siku moja hata nchi yetu iwe Islamic state!lakini tuko smart zaidi ya hapo,tutafight mpaka siku ya mwisho.Mtataka watu wafuge ndevu kwa nguvu,mlazimishe wanawake kucover,muwataili kwa nguvu etc.
 
MaJews watafanya kazi yao,hawataruhusu terrorist yoyote nchi au mtu kuhijack duniani na uislamu haramu.You know walivyomfanya bwana Hamas huko hotelini Dubai?

Nchi za Ulaya zimekuwa soft na nyie,zimewapa passport,zinawapa benefit lakini bado mnataka kujilipua kwenye ma underground trains.

Siku ya taifa la Israel kuanguka,ndio itakuwa mwisho wa human civilisation.Tutakuwa na akina Taliban,Al Qaeda,Islamic Jihad na hata bongo yetu tutakuwa na islamic state.Kwa kuwa tuna umaskini wetu,hela za mafuta zitawahonga mamluki wao bongo.Wasaud wametuletea Wahabism siku nyingi,hata Sufi Islam ambayo imekuwa practised miaka tanzania iko hatarini.

Mwarabu atakupa ngamia u terrorise watu bongo.
 
Puffffffffffffffffffffffffffffff, Mmeshamuona capacity yake huyu Mmakonde? Hamna kitu hapo! pumbuwani kaishiwa!
 
Mkumbuke jamaa yenu Osama aliua Wakenya na watanzania mwaka 1998.
Nia yenu mtapenda siku moja hata nchi yetu iwe Islamic state!lakini tuko smart zaidi ya hapo,tutafight mpaka siku ya mwisho.Mtataka watu wafuge ndevu kwa nguvu,mlazimishe wanawake kucover,muwataili kwa nguvu etc.
Ulimuona au ushabiki tu na vyombo vyenu vya habari vya kiyahudi!?
 
Waanzishe tu hiyo vita waanze kuhesabu mauti wa askari yao kila siku, hicho ndicho kaburi yao
 
X-paster wewe ni islamist vile vile?Kama Tumaini na mwenzake Bull
Hebu onyesha uislamu katika hiyo article wewe mla panya..
you have to be ashamed of yourself kwa kutanguliza chuki za kidini kuliko fikra endelevu..Sijui ni kwa nini MODERATOR anakubali post kutoka kwa watu wasio na akili kama wewe.
Kwako wewe,Umarekani means Ukristo na Uiran means Uislamu..LOL
 
Ni kweli kabisa kuwa America wanafanya hivyo lakini kwa sasa Obama hawezi kuruhusu hali hii kwa kuwa US inakabiliwa na matatizo makubwa sana ya kiuchumi na kufanya yale watu wengi wengefanya ili kuthibiti Mashariki ya kati US inaweza kuipa msaada mkubwa sana Israel iwe na nguvu kubwa na kuwa tishio huko
 
Waanzishe tu hiyo vita waanze kuhesabu mauti wa askari yao kila siku, hicho ndicho kaburi yao
Waarabu daima ni watu watakaoendelea kunyanyaswa kwasababu ya uduni wao waakili, USA atakuja palepale kwa jirani ya Iran ataweka Airbase atamtwaanga wee, kisha ataondoka, hakuna vita ambayo haina vifo, hata Iran alipopigana na Iraki pande zote zilipoteza, kwahiyo hamu yako yakuona Waamerika wakifa inaweza kutimia , kwa gharama kubwa ya damu ya Waarabu,
kila mara unatajiwa Idadi ya Waamerika waliofia vitani kule Iraki ama Afghan, kamwe hutaambiwa maelfu mangapi ya Waafghan wameangamia.
wewe laani vita , si kukaa na kushabikia kuwa Waamerika wangapi watakufa.
wao wamekaa kule kwao wakati huku mashariki ya kati watoto hata shule hawaendi.
kuna watu kama wanalaana, sijui ninini hii.
 
Ni bora anayekufa huku akitetea nchi yake na utu wake atakuwa na malipo baadaye

Kuliko atakayekufa na kuuliwa kwa kudhulumu kwanza anakufa halafu amekufa akifanya dhuluma tofauti kubwa sana hiyo??

Wamerakani watahesabu maiti nyingi na kuzipokea kwa taabu sana huko kwao bado wengine watakao kuwa na mental di-orders

Walianzishe tu tuone mwisho wake "Anayedhulumu au Anayedhulumiwa" nani mshindi..
 
And you think this whole thing won't affect you in any way?End of days.....!

Does it really matter?

It will affect the entire peace loving people, hao mashetani wa america hawana macho wala hawana masikio wamezoea kula damu za watoto kwa kusema uwongo iraq, afghanistan etc wameenda vitani without any proof..nini kitawazuia kupigana na iran if they so wish...naomba walianzishe ili wafe nao kidogo..
 
Kweli maneno yako, na wengi wamekuwa vipofu na viziwi hawayaoni wala hawasikii vilio vya wenye kudhurumiwa.
 
Ni bora anayekufa huku akitetea nchi yake na utu wake atakuwa na malipo baadaye

Kuliko atakayekufa na kuuliwa kwa kudhulumu kwanza anakufa halafu amekufa akifanya dhuluma tofauti kubwa sana hiyo??

Wamerakani watahesabu maiti nyingi na kuzipokea kwa taabu sana huko kwao bado wengine watakao kuwa na mental di-orders

Walianzishe tu tuone mwisho wake "Anayedhulumu au Anayedhulumiwa" nani mshindi..
Tatizo lako unafikiri kifupi sana, USA wanawajengea Himaya vizazi vyao kwa miaka mia Ijayo, wanaaccumulate wealth kizazi hata kizazi,wanapigania ustawi wa vizazi vyao vingi vinavyokuja.
Kufa ni kufa, anapokufa kamanda mmoja wa kimarekani Wanakufa Mamluki wa Mungu kama mia hivi, sipendi wanavyokufa ila huo ndo Ukweli.
wanaume sana wanapoletewa amaiti za ndugu zao, ila kila wakiikumbuka American Dream, wanapata nguvu na wanasonga mbele.
 
Kweli maneno yako, na wengi wamekuwa vipofu na viziwi hawayaoni wala hawasikii vilio vya wenye kudhurumiwa.
X ..heshima kwako,
mimi naona huruma sana, tukiacha hizo jokes na porojo za Tumain, ni kweli wanakufa wengi bila hatia, na tunapohubiri AMANI lazima tuhubiri amani kweli, tunapoendekeza mashindano ya silaha kama ambavyo Iran anataka kujiingiza kwenye huo mkumbo lazima ajizatiti kwelikweli ila kama atakuwa na siraha kisha akawa hana mifumo mizuri ya kuitetemesha USA kama alivyo CHINA , kweli ajiandalia mauti na maangamizo.
China amejizatiti kwelikweli, wale si debe tupu na ndio maana USA anawagwaya.
Jiingize kwenye Technologia ya vita halafu huna uwezo wa kutishia kulipua NY,LV,LA kweli utakua matatani.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom