US labor assistance commitee and tourism

ruthy19990

New Member
Feb 16, 2016
2
0
msaada jamani kuna kazi zilitoka kazibongo kampuni husika hapo juu ilikuwa inahitaji wafanyakazi kutoka third world country na nchi nyingine pia unaweza ukaaply sasa mimi nikajaribu kama zali tuu kuaply nikafuata procedure zao mwisho wa siku wakaniambia wamenichagu na wameshanitumia visa na work permit yakufanya kazi kule ila nilikuwa nauliza kama kuna mtu kalisikia ilo kampuni apo juu na ana lifahamu atleast anipe details
 
Back
Top Bottom