US kuwa na Koloni mwezini endapo Gingrich atachaguliwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

US kuwa na Koloni mwezini endapo Gingrich atachaguliwa.

Discussion in 'International Forum' started by Nyakipambo, Jan 26, 2012.

 1. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 2. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 16,866
  Likes Received: 1,154
  Trophy Points: 280
  Hata huo mwezi hautomtosha , hata akiongezea na jua lake hawatosheki hao
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,690
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  Yeah_human nature.
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh! Koloni Mwezini? Kweli binadam wanamkufuru Mungu!!!
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wanasiasa bana! Wanapoomba kura wanakuwa kama wako ndotoni vile. Hata sisi hapa tuliahidiwa "Maisha bora kwa kila Mtanzania na tutajenga barabara za juu kwa juu," wakati tunahaha na mlo mmoja na kulala gizani.
  US ina matatizo mangapi ya kiuchumi, ina watu wangapi wasio na ajira, ina mitaa mingapi imekuwa ni machinjio...? Ni Mmarekani gani mvuja jasho anashughulishwa na hilo la kuwa na koloni mwezi?anataka
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,121
  Likes Received: 1,375
  Trophy Points: 280

  Huyu Gingrich anakisa na nyie naona lengo lake ni kwenda kuunajisi tu huo mwezi..teh teh
   
 7. Pianist

  Pianist JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
Loading...