Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,593
- 6,934
Mabeberu ni watu wa ovyo sana, viongozi wa Africa msikubali kuchezewa akili.....
Na sio viongozi tu, mpaka hawa mabeberu weusi tulionao kwenye majukwaa.
Mabeberu ni watu wa ovyo sana, viongozi wa Africa msikubali kuchezewa akili.....
Hao wahuni hawapiganii dini kama wanavyodai ila ugaidi tu.
Hao na uhakika Zaidi ya 90% Kuwa main financier wao ni USA, Hio alert walioyotoa ni janja tu ila naona Mpango kazi tayari wanao wakuvuruga huo ukanda mana ni miongoni mwa maeneo yenye Gas nyingi sana(reserve) na kwanini hii Security alert imekuja kipindi hiki tukielekea Uchaguzi nawasihi Raia walioko upande huo kutoa taarifa zozote wanazohisi zitahatarisha usalama wa jamii, Naamini pia Vyombo vyetu vya dola viko aware na hii movement, Ulinzi wa Taifa letu ni Jukumu letu sote
Huyo Jenerali amefahamu habari za ISIS kupitia taarifa za kijasusi hivyo hakuna kuteleza ulimi hapo.Taifa letu linapashwa kuwa makini na Wamerikani - wafadhili wakubwa wa makundi ya ma terrorist wa type ya ISIS ni Wamerikani Wenyewe, we jiulize iweje Jenerali wa USA awe na taarifa kwamba kikundi hicho kimebuni mbinu mpya na kujihami na silaha hatarishi zaidi, kwani yeye ni war planner wa kikundi hicho?
Kuteleza kwa ulimi wa Jenerali huyo wa Merikani ndio iwe a wake up call kwa Taifa letu kwamba kuna kitu wana plan katika jimbo la kaskazini mwa Msumbuji na Mkoa wa Mtwara.
Kumbuka eneo hilo ndilo lenye utajiri mkubwa wa mali asili ya mafuta na gesi, miaka ya nyuma niliwahi kusikia utawala wa Merikani waki-comnent kuhusu eneo hilo nikawa concern, iweje wawe na interest na belt hiyo?
Si ajabu wakaja kutuletea matatizo siku za usoni, nionavyo mimi ni suala la muda tu kabla hawaja jaribu ku-distablise eneo tajwa hapo juu - binafsi napendelezag Nchi za SADC hazitachukuwa hatua kali ya kuangamiza kundi hili hatarishi.
Huyo Jenerali amefahamu habari za ISIS kupitia taarifa za kijasusi hivyo hakuna kuteleza ulimi hapo.
Hizo habari za Marekani kufadhili ISIS hazina uthibitisho zaidi ya propaganda tu.
Kama wangekua wanashirikiana na ISIS wasingeshambulia kambi zao kule Iraq na Syria.Utakuwa una ukaribu sana na wazungu, kama sio eneo la kazi basi mko majirani wa muda mrefu. Ebu tuambie kitu gani kinakufanya usiamini mkuu?
Hawa watu tunawapinga kwa pamojaHao na uhakika Zaidi ya 90% Kuwa main financier wao ni USA, Hio alert walioyotoa ni janja tu ila naona Mpango kazi tayari wanao wakuvuruga huo ukanda mana ni miongoni mwa maeneo yenye Gas nyingi sana(reserve) na kwanini hii Security alert imekuja kipindi hiki tukielekea Uchaguzi nawasihi Raia walioko upande huo kutoa taarifa zozote wanazohisi zitahatarisha usalama wa jamii, Naamini pia Vyombo vyetu vya dola viko aware na hii movement, Ulinzi wa Taifa letu ni Jukumu letu sote
Ninaamini hivyo pia lakini usijipe matumaini sana sababu pia hatutofautiani sana na msumbiji kwa kuwafunga wanaharakati wa kiislamu na kuwa na wimbi kubwa la vijana wasio na ajira mtaaani. Hili ni bomuHao hawawezi kukanyaga Tanzania, hao ni wale wa kibiti wanajua tulicho wafanya
Hao hawawezi kukanyaga Tanzania, hao ni wale wa kibiti wanajua tulicho wafanya
Hahahaha Mkuu hivi tunavyoongea , misitu ,mapori ,vichaka ,milima na mabonde huko mtwara,Lindi,ruvuma kuna operesheni inaendelea ya jw ni balaa hakiachwi kituHao wavaa kobasi wakiingia tu Tz ndiyo itakuwa mwisho wao...sie tuna andaa kundi maalumu la commando wanacheza nao kama wale wa kibiti na ole wako uwe kati ya watu ulio wapokea hapo kijijini utakuwa na wewe ni watu wasio julikana. hiyo operation itakuwa ya nyumba kwa nyumba na kazi inafanyika ucku asubuhi watu wanaendekea na ujenzi wa taifa kama kawaida mbona watarudi tu msumbiji.
Acha masihara weweIla hata hivyo walileta hofu yani kikundi cha wachache kilimfanya hadi CDF kuogopa kwenda Kibiti kwa kukatisha ziara njiani mbagala.
Na LNG iliyopo hapo ni balaa ,mpk sasa kuna kampuni mbili tu kubwa ndio ziko hukoUkichunguza kwa ndani sehemu nyingi ambazo hawa IS wameshamiri huwa kuna mkono wa U.S. Wasiwasi wangu tu hili lisijekuwa ni plan ya U.S kuisambaratisha Mozambique na Tz hasa interest ikiwa ni natural gas. Huo ukanda kwa pande zote yaani kaskazini ya Msumbiji na Kusini mwa Tz kuna reserve kubwa ya natural gas.
Hivyo tusilichukulie vyepesi hili hasa kipindi hiki cha chaguzi ambapo mara nyingi vyombo vyote vya usalama macho yanakuwa kwenye hilo tu. Najaribu kufikiria kwa sauti tu
Inawezekana...Ukichunguza kwa ndani sehemu nyingi ambazo hawa IS wameshamiri huwa kuna mkono wa U.S. Wasiwasi wangu tu hili lisijekuwa ni plan ya U.S kuisambaratisha Mozambique na Tz hasa interest ikiwa ni natural gas. Huo ukanda kwa pande zote yaani kaskazini ya Msumbiji na Kusini mwa Tz kuna reserve kubwa ya natural gas.
Hivyo tusilichukulie vyepesi hili hasa kipindi hiki cha chaguzi ambapo mara nyingi vyombo vyote vya usalama macho yanakuwa kwenye hilo tu. Najaribu kufikiria kwa sauti tu
Mkuu ukisoma vzr khs hilo eneo na jinsi hawa ASWJ walivyoibukaInawezekana...
Ni wapi IS wanavuna gesi? Ujue tu kuwa Mozambique kumejaa dhahabuHapo hakuna IS , Hapo kuna mafuta, Gesi au Madini.. Vingine visemavyo ni hadith tu za mabeberu
Ila huo ukanda una Gesi Asilia nyingi tuNi wapi IS wanavuna gesi? Ujue tu kuwa Mozambique kumejaa dhahabu
Pole comrade kwa kukwazika, ila hawa watu hujidadavua kuwa wanalingania uislam, ni changamoto ambayo waislam wanapaswa kuianikaAise unakosea sana kutuambia waislamu ni watu washenzi. Umejuaje hao ni waislamu? Na hata kama kweli ni waislamu lakin tambua kuwa wako nje ya mafundisho ya dini yetu. Muwe mnaelewa basi na sio kukurupuka tu.
Onyo la mwisho usirudie tena kutuambia waislamu ni washenzi, nakuripoti.